Restoring Yahoo mails from Outlook

Restoring Yahoo mails from Outlook

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,382
Hi JF tech Guru
Is there any easy method to import back my outlook mails back to my yahoo or hotmail accounts?
Pls help if it can be done
 
Kwa hotmail nenda kwa Out look Account setting, Use HTTP and fuata maelekezo
 
wataalamu vipi kimya hii kitu inanisumbua maana i cant acess my old emails nikilogin kwenye pc nyingine...
msaada pls....
 
wataalamu vipi kimya hii kitu inanisumbua maana i cant acess my old emails nikilogin kwenye pc nyingine...
msaada pls....
kwanza acha kuchezacheza hivyo unaleta utani!
 
Mhh! Uko premium nini? Ulizidownload vipi kwanza maana hiyo POP3 service ni kwa yahoo premium account?
Jibu rahisi ni Zimove ktk inbox. Sijawahi tumia outlook for yahoo, so sorry I cannot be of big help :ban:
 
mkuu nashukuru kwa link...nitajaribu na kukupa mrejesho
 
Back
Top Bottom