Rest In Peace Tata Madiba!!

Rest In Peace Tata Madiba!!

Mhh huyu mzee alikuwa jabali wa mistari...hakuna demu angeruka vyuma anavotupia kwenye mabarua haya...pumzika mzee wangu madiba

Inasikitisha kweli. Aliruhusiwa barua only mara 2 tu kwa mwaka.Kama asingeenda gerezani angekua na Winie mpaka leo. Nje ya ndoa 27 yrs si mchezo. Kuna mengi yalitokea hapo katikati thats why walishindwana baada ya kuachiwa
 
R.I.P. Madiba; you were an ICON because you walked your talk, you brought your people together irrespective of their colour,religion or gender. Madiba is the last of the true inspirational leaders of the independence struggle who loved their people unlike the current crop of African leaders who compete in looting their country's coffers and stashing the money in Europe!!! The current crop of African leaders have a lot to learn from Madiba's leadership style; he believed in reconciliation and not vindictiveness and that is what propelled him to a be a larger than life human being!!
 
Back
Top Bottom