Rest in Peace Regia Mtema


RIP Kamanda Regia Estelatus Mtema aka Gender Sensitive!



Mungu awape Faraja Ndugu Wote wa Marehemu, Chadema, JF, Wana Kilombero na Watanzania wote.

Hakika huyu Dada alikuwa ni Mpiganaji. Hata kabla hakuwa Mbunge toka enzi akiwa JF alikuwa tayari ameanzaa kung'aa kwa michango yake mahiri ya kupigania haki na maslahi ya Watanzania.



Kwa hisani ya M A R A S H I: Regia Mtema: Ni mlemavu wa viungo, si wa kufanya kazi haya ni mazungumzo yake na Mwandishi:



 

Attachments

  • Regia Mtema 3.JPG
    43.3 KB · Views: 1,383
  • Regia Mtema - 2.JPG
    48.5 KB · Views: 1,388
  • Regia Mtema.JPG
    28.3 KB · Views: 1,398
Kamanda tutakukumbuka kwa mema yote wanakilombero.
 
Hii imekaa kiuzuni uzuni Sana Poleni Wafiwa...

Wote sie ndio tuelekeao huko.

Ni vizuri kuandaa maisha ya hapa Duniani na kwetu Pazuri Mbinguni Huu ni ukumbusho kwa Wote Binadamu...

Mwenyezi Mungu amuweke pahari panapomstahiri Tuonane Paradiso
 
Last edited by a moderator:
Rest in peace dada Regia Mtema, hatuna jinsi zaidi ya kumuomba mwenyezi Mungu atupe unafuu sisi pamoja na wanafamilia waliompoteza mpiganaji, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amen!!
 
mala ya mwisho nilikua na regia kwenye show ya vinega pale kinyama tukitoa updates wote hapa jf. hadi sasa hivi navuta picha jinsi alivyo kuwa anaondoka miondoko ya hiphop wakati anamsindikiza sugu jukwaani. hii dunia jamani. Mia
 
Kamanda umetutangulia, nyuma yako mbele yetu, umetuachia mengi ya kijifunza, hatuna jinsi ni safari ya wote. Poleni Wafiwa, poleni wana Kilombero.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…