pole sana Mc Tilly. Mzee wako amekuwa na nguvu kuishi kwa miaka yote hii, hii ni faraja sana. Tunaamini Mungu atawatia nguvu katika kipindi hiki kigumu.
nawashukuru wote kwa mara nyingine!mwili wa marehemu baba yangu Dk S.H.D Chizenga unasafirishwa usiku huu toka dar kwenda kijijini Kwabaya,Chanika wilayani Handeni mkoa wa Tanga kwa ajili ya mapumziko yake ya milele kesho saa 7 mchana

Nakutakieni safari njema. Mungu awe nanyi ktk safari na pia asimamie shughuli nzima ya maziko ya Mzee Chizenga. May his soul rest in eternal peace, Amen.