Pole sana mkuu, Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.
Hujatupa updates zaidi, msiba uko wapi and what is the progress concerning the matter, I know that it might be much more a family matter that a JF matter, lakini ukitujuza sio mbaya.
asanteni kwa kunifariji!msiba upo kinondoni muslim mle ndani,watasafirisha badaye leo kwenda Handeni,Tanga!mazishi yatakuwa kijijini alipozaliwa Mnola au kwake Kwabaya Anitakaye!mimi naenda huko kutokea arusha nilipo!