camp konzi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 501 Reaction score 986 Jul 18, 2026 Thread starter #21 jambo linaosikitisha ni kwamba kwa sasa jf imekua ni uwanja wa mapambano kila mwenye makasiliko yake anayaonesha wazi wazi imekua ni mwendo wa vita ni vita mula kwa wale wanyonge kama sisi ndio ambao tunapata tabu
jambo linaosikitisha ni kwamba kwa sasa jf imekua ni uwanja wa mapambano kila mwenye makasiliko yake anayaonesha wazi wazi imekua ni mwendo wa vita ni vita mula kwa wale wanyonge kama sisi ndio ambao tunapata tabu