Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.
POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!

Ukifiwa shughuli za msibani kwenu huwa mnafanya wenyewe na si majirani na marafiki?
jinga kabisa,siju umeandika utumbo gani hapa,unaonekana hata haujui maana ya kufiwa..