Rest in peace comrade Chacha Wangwe

Rest in peace comrade Chacha Wangwe

Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.

Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,

Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi

Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,

WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!

RİD Comrade Horace Kolimba.
 
Mbowe na Slaa! Kwa hiyo serikali inawaogopa hawa jamaa hata wakiua hawakamatwi! Mhh! Tuache kufike huko siasa za namna hii hazijengi bali hata wewe nafsi yako kuna wakati inalipuka na kukusuta.

R.I.P Kamanda chacha wangwe

RİP Kamanda Edward Moringe Sokoine
 
Mkuu unauliza makofi polisi,waliofnya unyama ni viongoz wa chadema akiwemo mbowe na mwenzake slaa na baadhi ya viongoz wengine,ila naona damu ya zakayo chacha inawatafuna na ndio hyo mpaka leo inawakosesha amani kwenye chama chao cha kikabila

Mungu amrehemu Meja Jenerali İmran Kombe.
 
KUMBUKUMBU YA HAYATI
CHACHA WANGWE

Ni miaka sita(6) sasa tangu alipotutoka
aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime,Diwani
wa kata ya Tarime Mjini, Waziri kivuli wa
Maji, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara
na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,
Baba yetu mpendwa Hayati Chacha Zakayo
Wangwe kwa kifo kilichogubikwa na
sintofahamu mpaka leo,kilichotokea mnamo
tarehe 28/07/2014 maeneo ya
Pandambili,wilayani Kongwa.

Kwa niaba ya Familia ya Wangwe, wananchi
wa Tarime na wanachama wa Chadema
napenda kusema kuwa tanakumbuka sana
uwepo wako Comrade Wangwe,na
tutakukumbuka na kukuenzi daima..Mbele
yako,nyuma yako..REST IN PEACE TATA.

M B O R A K E (KUTAKUCHA)

Mnamo Tarehe 28/7/2014 MBONA UNATUCHANGANYA Nijuavyo Alipata Ajali Tarehe 25/4/2008 Una Lako Jambo Sio Bure.
NO CURRUPTION NO CCM
 
Chacha Wangwe alikuwa mpinzani wa kweli. Sio hawa wengine wapenda pesa na ngono.
 
Chacha Wangwe alikuwa mpinzani wa kweli. Sio hawa wengine wapenda pesa na ngono.

Nilicho Jifunza Kwenu Mtu Yoyote Ndani Ya CHADEMA Anayekwenda Kinyume Nyie CCM Ndio Mnampenda Na Kujidai Kumuonea HURUMA. Mpinzani Yeyote Anayeonewa Huruma Na CCM Huyo Si Mpinzani.
NO CURRUPTION NO CCM
 
KUMBUKUMBU YA HAYATI CHACHA WANGWE

Ni miaka sita(6) sasa tangu alipotutoka aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime,Diwani wa kata ya Tarime Mjini, Waziri kivuli wa Maji, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Baba yetu mpendwa Hayati Chacha Zakayo Wangwe kwa kifo kilichogubikwa na sintofahamu mpaka leo,kilichotokea mnamo tarehe 28/07/2014 maeneo ya Pandambili,wilayani Kongwa.

Kwa niaba ya Familia ya Wangwe, wananchi wa Tarime na wanachama wa CHADEMA napenda kusema kuwa tanakumbuka sana uwepo wako Comrade Wangwe,na tutakukumbuka na kukuenzi daima..Mbele yako,nyuma yako.

REST IN PEACE TATA.
M B O R A K E (KUTAKUCHA)
Kuna maswala mengine hayahitaji mihemko hebu rudia tena kusoma ulichoandika hapa halafu upime kama upo sahihi.
 
Rest in peace Chacha Z Wangwe, roho yako ipumzike kwa amani, japo lengo lao lilitimia lakini Chama hakiendi mbele tena kwani kinaelekea mwisho, hakika Mungu kaamua kuwaadhibu hapa hapa Duniani.
 
Mkuu unauliza makofi polisi,waliofnya unyama ni viongoz wa chadema akiwemo mbowe na mwenzake slaa na baadhi ya viongoz wengine,ila naona damu ya zakayo chacha inawatafuna na ndio hyo mpaka leo inawakosesha amani kwenye chama chao cha kikabila
Vipi, inakuwaje watu wauwe mtu halafu waendelee kudunda mtaani bila hata kupelekwa polisi na mahakamani?
 
Nilicho Jifunza Kwenu Mtu Yoyote Ndani Ya CHADEMA Anayekwenda Kinyume Nyie CCM Ndio Mnampenda Na Kujidai Kumuonea HURUMA. Mpinzani Yeyote Anayeonewa Huruma Na CCM Huyo Si Mpinzani.
NO CURRUPTION NO CCM
Uko sahihi mkuu. Eti leo hii hata Zitto ni kipenzi chao ila hawataki kumkaribisha. Dr Kitila naye sasa hivi ni mtoto wa kuonewa huruma sana ila wakati hajatangazwa kuwa msaliti hata vyeo walimvua UDSM kwa chuki yao kwake. Mwigamba naye alikuwa mwiba kwao hasa kwa zile makala zake hadi wakamfungulia kesi ya uchochezi lakini baada ya chama chake kutangaza kuwa kahusika na usaliti kageuka kipenzi chao.
Huu ndio unafiki na uzandiki wa CCM.
 
Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.

Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,

Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi

Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,

WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!
attachment.php

attachment.php

Mwigulu Nchemba hoyeeeeeeeeeee!!!!!!!, ACT na CCM tunakuunga mkono kwa umaafia wako!
 
Mungu amrehemu Meja Jenerali İmran Kombe.
Kuandika hivi ni kwamba kuhalalisha tukio kwamba CCM walimuondoa Imran Kombe na Nyie Mkamuondoa Chacha Wangwe au kusudio lako ni lipi.
unajaribu kujenga hoja kwamba CCM imefanya kwa wengi nyie Huyu mmoja tu kelele nyingi?
 
Back
Top Bottom