naona mmeamua ku-rewind propaganda ambazo cd zake hazikutamba
Unakurupuka sana wewe zaidi. Kataja tarehe 28/7/2014 jee ni kweli Wangwe kafa leo? Huu uzi umeletwa kwa nia ovu ndio maana unajichanganya.unamatatizo sana wewe,ulivyoandika kwa kurupuka mi nilijua una la kuongeza. haya taja basi iyo tarehe sahihi ya kifo cha wangwe!
Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.
Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,
Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi
Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,
WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!
Aliuawa na wanasiasa wenzake chamani, baada ya kuonyesha nia ya kuutaka uenyekiti wa chama.
Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.
Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,
Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi
Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,
WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!
unamatatizo sana wewe,ulivyoandika kwa kurupuka mi nilijua una la kuongeza. haya taja basi iyo tarehe sahihi ya kifo cha wangwe!
Kuandika hivi ni kwamba kuhalalisha tukio kwamba CCM walimuondoa Imran Kombe na Nyie Mkamuondoa Chacha Wangwe au kusudio lako ni lipi.
unajaribu kujenga hoja kwamba CCM imefanya kwa wengi nyie Huyu mmoja tu kelele nyingi?
Sana tu. Sio huyo tu.... bali pamoja naTutakukumbuka Daima Chacha wangwe!
sio kila mmoja anataka kuwa msukule. wengine wanajitambua.ACT? Nilitegemea ni chadema!!
unachekesha. mnamkumbuka kwa lipi? kumpoteza au? mchango mengine ni kejeli tu.RIP Comrade, makamanda wa chadema tunakukumbuka sana, tunakumbuka uwezo wako wa kuipigania haki za wanyonge