Samahani wadau nipo taiti kweli.. Problem n statement ambayo unatakiwa uionyeshe kuwa kuna tatizo ambalo wewe unaenda kulifanyia kazi... kwa mfano unaweza ukawa na title the role of small scale agricultural on promoting economic of local vendors... so hapo tatizo labda linaweza likawa kuwa kuna tatizo la kiuchumi kwa local vendors so unatakiwa kutoa statement zinazo onyesha hivyo. angalau u cite watu watatu au wawili katika hicho kipengele amabao wamesema hivyo ili uweze pata gap ya kwanza.. gap ya pili utakuja kuipata chapter two katika kipengele cha empirical literature review baada ya k review kazi za watu mbalimbali zinazo endana na study yako