Research Methods courses | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Research Methods courses

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by amkawewe, May 8, 2012.

 1. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF,

  Naomba kujua ni wapi wanatoa short courses on research methods.
   
 2. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua unachotaka?

  Kama ndio mimi natoa mimi natoa...
   
 3. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  research methodology ndo professional language, afu unaonekana mbambaishaji sidhani kuna chuo kinatoa course hii separately labda hujaelewa unachotakiwa kufanya.
   
 4. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  same thing usikariri
   
 5. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Uko organization gani? leta na training schedule yako.
   
 6. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mdau kuna kipindi University of Dar es Salaam pale College of Engineering walikuwa wanaendesha courses of Data Analysis mainly through SPSS ( elementary and advanced). Unaweza ukajaribu kupita kwenye website kama wanayo full package ya Research Methodology.Nakushauri tu uwe makini na viconsultancy firm ambavyo ni feki, hii area inahitaji competent person ili uweze pata uelewa, sasa huko mitaani kuna vifirm vingi tu watakuambia wanapiga lakini ukimaliza upo mweupee! fanya assessment before hujatoa hela yako
   
 7. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm not with any training entity ..just wanna help for free
  If you need certificate that something else....I thought you need knowledge regarding the said topic.
  Nilikuuliza unajua unachotoka ? maana the topic itself inaweza kuwa deep depends on the need .

  Na sina uhakina kama kuna training ya hii kitu kana stand alone ...
  Ningeshauri pia check online tutorial na youtube
   
Loading...