Repoti ya waziri wa afya kuhusu loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Repoti ya waziri wa afya kuhusu loliondo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 16, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waziri wa afya alipompiga ban babu wa loliondo
  alisema kuna matatizo mengi ikiwemo dawa kuthibitishwa
  wataalamu walitumwa kutoka wizara ya afya makao makuu
  kwenye loliondo, japo kuliakua hakuna umuhimu wakufanya hivyo maana arusha kuna wataalamu wenye uwezo au kilimanjaro
  hapa ni posho tu ilikua inatembea
  baada ya wafuasi wa babu kupiga kelele serikali ilimtuma lukuvi
  kuja kusawazisha mambo bila kuja kwamba wiraza hiyo haimuhusu
  sasa waziri wa afya tuna taka repoti ya hao watu wako
  na tujulishe dawa umekubalika kitabibu kuliko kuingia mti


   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unaitaka riporti ya nini mkuu kama unaumwa nenda kapate kikombe! Kwa maelezo zaidi soma magazeti, sikiliza redio na watafute walio kwenda huko,
   
 3. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmm,thread zingine.Ni kama maji yanayotiririka kwenye mtaro!Duh.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Heading yako ina kitu tofauti na content!

  Ndugu yangu hutakaa upate hicho unachotaka, maana hapa kwetu hata mambo ya tiba yamemezwa na wanasiasa!
  We fanya lililo kwenye uwezo wako na ujiridhishe...PLAY YOUR PART!
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  yaani mie huwa ninakereka sana ninapoona mtu ka post utumbo, please tunaomba usiharibu title ya blog hii
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mtu kukuelewa inabidi arudierudie kusoma ka mara 5 ndo akuelewe.unataka ripoti au unalalamikia wizara ya afya?sijakusoma
   
 7. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  mods please delete this thread
   
 8. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu,kama unaumwa nakushauri uende loliondo;usisubiri ripoti usiyojua inatoka lini as we knw our government talk witout any target date to deliver!

  Ushauri wa bure, nenda angali unaweza kwenda!
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Kapige Dozi ww, achana na mambo ya ripoti.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  avatar na signature yako vyote ni dawa
   
 11. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280

  Mmzalendo ana logic bcoz ameonesha concern yake kuwa Raslimali za nchi zimepotea bure nadhani Kiasi hicho Yaani Posho (Perdiem na Diesel) zingeweza kufanya kazi nyingine yenye manufaa kwa taifa badala ya huo utafiti ambao kimsingi hauna tija kwa taifa na kwa wananchi wake!!!
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Tatizo ni kuwa hata hao wataalam wenu watakapo fika huko watakacho fanya ni kupata kikombe na kurudi then unataka nini? na unategemea nini, Utalaam ukisha fanywa siasa! hapa Tanzania kila kitu ni siasa.
   
 13. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ?????duh!
   
 14. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  shukurani kwa kuweka sawa lakini huyu paka jimmy hao malofa wenzie wanauelewa ndogo kila kitu mpaka mtafuniwe mimi sijui taaluma zenu nini lakini sio mwandishi ila nina haki zote za msingi kusema ninachofikia kama umeona nilichoongea sio issue kwako unaweza kupita tu paka jimmy sikujui lakina nadhani una ajenda binafsi na thread zangu ila hapa umekanyaga chini sito kujibu tena after this wewe ni matokeo ya ufisadi unamaliza nchi pumbuv....
   
 15. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kama kweli wewe ni mtu wa hasira anza na jk mbona kakufanya masikini na kukuweka gizani ujampandishia mzuka
   
 16. b

  batadume Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kapate kikombe mkubwa achana na mabo ya ript............
   
Loading...