Reposted

Nilikuwa napiga shati la juliana, chini nakupigia suruali aina ya pekos, halafu mwendo mdundo, mtanikoma mbona we acha tu!!!!!
Bonge la bishoo [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
reverse ilkua inakula betri saaaaana

Kamanda, mshana jr anachomaanisha ni kwamba, hiyo radio cassette auto reverse ikimaliza kupiga upande mmoja inaanza kupiga upande wa pili bila kutoa na ku igeuza kanda. Weee u forward au ku rewind kwa kubonyeza zile za fasta utachezea mikwaju balaa. Ni kweli hiyo mbinu ilikua inasadikika kumaliza battery, hapo ndio utaujua umuhimu wa kalamu aina ya bic.....kwa ajili ya kusogeza kanda mbele au nyuma.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji106] [emoji106]
 
Pole sana kwa kutomuona mzee wako, may he RIP!

Itunze hiyo radio vizuri uje uwarithishe wanao pia, with a story behind na wao watawarithisha watoto wao! Ni kumbukumbu nzuri sana hiyo.
 
Pole sana kwa kutomuona mzee wako, may he RIP!

Itunze hiyo radio vizuri uje uwarithishe wanao pia, with a story behind na wao watawarithisha watoto wao! Ni kumbukumbu nzuri sana hiyo.
Asante mkuu,sure nitafanya hivyo maana sikuwahi hata kuwa na wazo hili.
 
Rise on =laizoni ni muendelezo wa kuchakachua vitu hiyo enzi suruali mfukoni imeshonywa kama utumbo flan hivi mzee kakupigia way utamtaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…