Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 867
- 990
Post in thread 'Damu inatoka UKENI na sio Hedhi' by jayleoncy112 has been reported by Executor. Reason given:
Content being reported:
Content being reported:
Habari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...
Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo liliniuma sana, hasa Chini kidogo ya kitovu.. kesho yake maumivu yalipungua ila maajabu baada ya siku mbili DAMU ikaanza kutoka Ukeni... Na Leo ni siku ya 3 Damu inaendelea kutoka Na haina maumivu kabisa (Damu inatoka ukeni na Sihisi maumivu kama yale ya hedhi)..
Naombeni kama kunamtu aliewahipitia hii au Daktari anipe mwanga kidogo
AHSANTEN SANA