Report za madini na Wasomi wetu wa UDSM

Report za madini na Wasomi wetu wa UDSM

Unafananishaje Mzumbe na Udsm shame on you! Mzumbe wanafundisha geology sikuhizi upuuzi huu
 
kwahiyo tusijilaumu kuwa na rais kama Magufuli lawama zote kwa chuo alichosomea cha UDSm

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Na kwa sasa kwa huyu Magu hakuna msomi anayekohoa. Yale makongamano ya kitaaluma ya kukosoa mwenendo wa serikali na kuonyesha njia sahihi yameyeyuka. SI UDSM bali vyuo vikuu vyote maprofesa na wasomi wengine wamejificha chini ya meza. Hakuna anayeinua kichwa mbele ya Mzee wa chato, a.k.a Mzee wa push ups, Mzee wa makinikia na chama chake cha makinikia.
Hahahah hizo sentence za mwisho nimecheka sana mkuu
 
Sepp Blatter alikuwa Raisi wa FIFA aliyesoma UNIVERSITY OF LAUSSANE-SWITZERLAND,chuo chenye heshima duniani.Ila alikumbwa na kashfa ya ufisadi mkubwa ndani ya Fifa miaka michache iliyopita,kwahiyo darasani kwake au chuoni aliposoma wakatokea kuwepo mafisadi wa baadae tukitolee macho chuo?,kuna chuo chenye kozi ya ufisadi?.. Dah JF imekuwaje sasa hivi?
Mlimani ipo!
Unabisha kamuulize Osoro. Teh teh teh
 
Lkn chuo hiko hiko si kimetoa, wasomi ambao waaminifu na wasiopenda udisadi naamini wapo wengi ila sifa mbaya inavuma kuliko sifa nzuri, ukikosoa na kukiponda UDSM ni sawa na kuviponda vyuo vote vya Tanzania, kwani UDSM ni mlezi wa vyuo vyote vya Tanzania .Hizo nyingine ni tabia na tamaa binafsi za mtu na hazihusiano na chuo.
 
Swala nikwamba wengi wanaoitwa mapapa na mafisadi nizao la Udsm hata ukikataa ukweli unabaki palepale na serekali imekuwa ikiwapa Udsm upendeleo wa vitu vingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo mtu, tatizo ni mfumo!
Kama mfumo umeundwa utii ngazi za juu, basi ni kosa la kimaadili kutokutii ngazi za juu hususan kama maagizo uliyopewa yamo kisheria katika powers za anayekuagiza, au kama maagizo hayo yametolewa na vikao halali vya maamuzi!.
 
Mzumbe ni zao la UDSM..huwezi kifananisha Ud na mzumbe...mzumbe ni chuo cha uongozi tu...UD ni chuo kikuuu cha TANZANIA. unaongea pumba wewe. Vilaza woote wanaogopa kwenda MLIMANI SABABU KWANZA ENRANCE YAKE IKO JUU..waliofeli feli ndio.wanakwenda huko kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
"ENRANCE" ndio nini mkuu....hii ni terminology mpya kabisa...Haya bhana wasomi wa UDSM kwa vocabulary mpo vizuri.
 
Katika miaka ya 80 chuo kikuu Dsm kikijulikana kama Mlimani kilidharauliwa sana na wasomi wa IDM- Mzumbe, wakati sikuweza kupata sababu ya University kudharauliwa na hiyo taasisi ya Morogoro...........
Tuache kuponda taasisi kutokana na makosa ya mtu, tamaa ni tabia ya mtu sio chuo ndio kinachomfundisha...
 
Mzumbe ni zao la UDSM..huwezi kifananisha Ud na mzumbe...mzumbe ni chuo cha uongozi tu...UD ni chuo kikuuu cha TANZANIA. unaongea pumba wewe. Vilaza woote wanaogopa kwenda MLIMANI SABABU KWANZA ENRANCE YAKE IKO JUU..waliofeli feli ndio.wanakwenda huko kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mlimani hawatilii mkazo elimu ya uongozi?!! Hapo bado ufisadi wa mlimani city........plus degree za gambo!
 
Unaweza kutenganisha mfumo na UDSM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo maana huitaji kuilaumu UDSM wakati ni zao la mfumo. Tatizo lote hapa lilikuwa ni mkakati uliokuwa umewekwa na serikali katika kulinyonya taifa. Kimsingi ni lazima uwatafute wasomi ili wawe upande wako ndo utaweza kufanikiwa kwani watakulinda. Mfumo wa serikali zilizopita ulikuwa tatizo sana, wasomi unaweza kuwatengeneza wakawa wazalendo na pia unaweza kuwatengeneza wakawa wahujumu pale utakapowahusisha katika dili feki kwa minajiri ya kuwatunuku vyeo, hisani n.k ..Mfumo wa kiutawala ni tatizo kubwa sana na usisahau status ya UDSM kama "state University". Unatenganishaje state university na serikali kuu?
 
Katika miaka ya 80 chuo kikuu Dsm kikijulikana kama Mlimani kilidharauliwa sana na wasomi wa IDM- Mzumbe, wakati sikuweza kupata sababu ya University kudharauliwa na hiyo taasisi ya Morogoro. Lakini baada ya mwana udsm Prof Lipumba kuzua sintofahamu huko siasani na baadaye figisu za kina Muhongo nk achilia mbali kina Prof Tibaijuka ndiposa najiuliza sababu za udsm kupondwa na IDM nyakati zile AU haya ndio matunda yake?! Je, wasomi wa udsm wanapungukiwa na nini mbona maprofesa wanaoleta majanga ni wa mlimani tu?!!! Ahsante.
wezi na mafisadi wote wamesoma UDSM, Akina muhongo, Tibaijuka, Mruma, Na saiz mkandara hadi nahisi kuna kozi ya jinsi ya kuwa Fisadi pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika miaka ya 80 chuo kikuu Dsm kikijulikana kama Mlimani kilidharauliwa sana na wasomi wa IDM- Mzumbe, wakati sikuweza kupata sababu ya University kudharauliwa na hiyo taasisi ya Morogoro. Lakini baada ya mwana udsm Prof Lipumba kuzua sintofahamu huko siasani na baadaye figisu za kina Muhongo nk achilia mbali kina Prof Tibaijuka ndiposa najiuliza sababu za udsm kupondwa na IDM nyakati zile AU haya ndio matunda yake?! Je, wasomi wa udsm wanapungukiwa na nini mbona maprofesa wanaoleta majanga ni wa mlimani tu?!!! Ahsante.

Lakini unatambua pia kuwa "dharau" on its own, is a very good sign of inferiority complex? Kwa sababu km uko juu na una uhakika kabisa kuwa wewe uko juu, why dharau kwa yule unayeona kuwa yuko chini yako wakati una uhakika kabisa kuwa yuko chini yako? Dharau mara nyingi au chuki isiyo na msingi wowote, huwa inatokana na self-conflict ya kuwa ktk situtaion ambayo kitu unakuwa unakikubali rohoni lakini kwa nje hutaki kuonekana kuwa unakikubali. Hujawahi kukutana na situtaion ambayo kunakuwa na mtu somewhere anakuchukiia na hujawahi kumkosea na wala huna mahusiano naye, na pengine hata kufahamiana naye hamfahaiani ila huwa anakuona tu ktk mazingira uliyopo? KALAGABAHO!
 
Watu waliosoma tuvyuo twingine wanawaonea wivu sana waliosoma UDSM. Ujue hata hao wanaofundisha vyuo vingine karibia wote ni zao la UDSM. Hata Magufuli mwenyewe ambaye ni Rais wa nchi na mwenyekiti wa chama tawala ni zao la UDSM. Ukweli ni kwamba viongozi wengi Tanzania na mfumo wake ni wizi mtupu. Mfumo unatakiwa kufumuliwa kabisa na kuifuta CCM kama wenzetu Kenya walivyofuta KANU na sasa tunaona mabadiliko hadi mahakama zinatengua matokeo ya urais.
 
Back
Top Bottom