Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Katika miaka ya 80 chuo kikuu Dsm kikijulikana kama Mlimani kilidharauliwa sana na wasomi wa IDM- Mzumbe, wakati sikuweza kupata sababu ya University kudharauliwa na hiyo taasisi ya Morogoro. Lakini baada ya mwana udsm Prof Lipumba kuzua sintofahamu huko siasani na baadaye figisu za kina Muhongo nk achilia mbali kina Prof Tibaijuka ndiposa najiuliza sababu za udsm kupondwa na IDM nyakati zile AU haya ndio matunda yake?! Je, wasomi wa udsm wanapungukiwa na nini mbona maprofesa wanaoleta majanga ni wa mlimani tu?!!! Ahsante.