Report ya Jairo full text

Vema! Lakini hebu nenda mbele zaidi ukatuwekee humu nayo nakala ya MUSWADA WA MAKINDA ambao ndio jambo la msingi zaidi kwa sasa.
 
Na akuna atuwa ambayo imechukuliwa mpaka sasa
 
Kuna siku nilimsikia JK akisema watamshughulikia mtumishi yeyote wa umma mwenye mali zinazozidi kipato! Hii sijaiona ikisimamiwa na ndio maana watumishi wanajichotea na kumiliki utajiri kwa kufuru, kweli Tz itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno (vyeo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…