Report: Libya's newly-resigned interior minister kidnapped

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
(CNN) -- Libya's ex-interior minister who resigned his role to support anti-government protesters has been kidnapped, state media reported Wednesday.

Abdul Fattah Younis al Abidi told CNN that he resigned Monday after hearing that 300 unarmed civilians had been killed in Benghazi. He accused Libyan leader Moammar Gadhafi of planning to attack civilians on a wide scale.

But hours later, state media reported that "gangs" in Libya's second-largest city, Benghazi, had kidnapped him.

more Libya: Ex-official kidnapped; interior minister said he resigned - CNN.com
 
Ghadafi kwa sasa ni simba aliye mkali sana, ni ama zake au zao
hivyo hatakuwa na mchezo kabisa kwa mtu yeyote anayeonekana kuwa kinyume naye
 
Tofauti na Hosni Mbaraka wa Mesiri; Ghadafi aliwekeza mali aliyofisadi nchini Libya. Lakini kwa kutumia Shirika la Investment and Trading International Company Limited aliweza kuwekeza kidogo nje ya nchi yake. Hapa Tanzania alinunua Hotel ya Bahari Beach. Lakini akashindwa kuiendesha na akalazimika kuuza share 28% kwa Kampuni nyingine inayoitwa Libyan African Investment Company na yeye kubakia na 72%. Vinginevyo aliwekeza ndani ya nchi yake. Kwa hivyo hana pa kukimbilia labda Tanzania. Kwa jinsi hiyo kuna vita kweli kweli. Jamaa itabidi aue sana kwa kusaidiwa na Mabedui wenziwe kabla hajakatwa kichwa na Waarabu wa Bengazi na Mesiri. Kazi ipo na bado mbichi. Tutegemee kusikia makubwa au la Waandamanji waache maadamano. Lakini wakishindwa na Ghadafi akashinda wajue kuwa kifo kinawasubiri kutokana na kosa la Uhaini. Yeye Ghadafi kwa kuendeleza vita hana la kupoteza after all hili kwake ni Teke la punda anayeaga Dunia.
 
ghadafi kwa sasa ni simba aliye mkali sana, ni ama zake au zao
hivyo hatakuwa na mchezo kabisa kwa mtu yeyote anayeonekana kuwa kinyume naye
gadaffi amekaa sana amelewa madaraka anaweka watoto wake,ni dictator..lakini mhh kila mlibya anasoma bure, ana haki ya kupata nyumba,matibabu bure,na ni kiongozi pekee ambaye hakubali raia wake asulubiwe na nchi nyengine.(sio kama sisi) na pia amejenga vyema nchi yake...ametumia vizuri mapesa ya mafuta..(japo inawezekana watoto wake wanayachakachua).pia huyu ni pekee ambaye anasimama dhidi ya ubeberu..sasa kama ataondoka tena kwa shinikizo za aljazeera ambayo inaonesha wazi inamchukia basi utawala utaopatikana bila shaka ni wa kibaraka...na watu wa libya wasitarajie chochote zaidi ya kile wanachokipata bure sasa hivi kuondolewa...tukumbuke hii ni nchi ya kisoshalisti....ndio yaleeee mbona wakati wa nyerere tulika twasoma bure??
Kwa namana hii bora abakie hata kama gharama yake ni kubwa.
 
The man is kidding. He enjoyed in Ghadafi's regime, then today he dont want Ghadafi ehh. He is preparing to get new post in the comming regime I guess. People they are after money I tell you.
 
kuwa kidnapped siyo kuuwawa, unanikumbusha barua moja nimeiso katika jukwaa la ligha kuhusu kiingereza.

Nimechanganya, ahsante maana nimejibu haraka huku nikikimbilia aljazeera ku-confirm. Kidnap & assassinate nimezichanganya.
Sori wadau, narekebisha.
 
gadaffi amekaa sana amelewa madaraka anaweka watoto wake,ni dictator..lakini mhh kila mlibya anasoma bure, ana haki ya kupata nyumba,matibabu bure,na ni kiongozi pekee ambaye hakubali raia wake asulubiwe na nchi nyengine.(sio kama sisi) na pia amejenga vyema nchi yake...ametumia vizuri mapesa ya mafuta..(japo inawezekana watoto wake wanayachakachua).pia huyu ni pekee ambaye anasimama dhidi ya ubeberu..sasa kama ataondoka tena kwa shinikizo za aljazeera ambayo inaonesha wazi inamchukia basi utawala utaopatikana bila shaka ni wa kibaraka...na watu wa libya wasitarajie chochote zaidi ya kile wanachokipata bure sasa hivi kuondolewa...tukumbuke hii ni nchi ya kisoshalisti....ndio yaleeee mbona wakati wa nyerere tulika twasoma bure??
Kwa namana hii bora abakie hata kama gharama yake ni kubwa.
Yes inawezekana kweli Gadaff amefanyia vizuri nchi na watu wake wakati wa utawala wake. Lakini nani anajua kwamba ajae kama kweli atakuja mwingine atafanya nini? Vyovyote itakavyokuwa watu wanataka mabadiliko wamechoka, wanajua kinachowachosha.
 
WaLibya wamechoka kula na kushiba.. . . Wanataka njaa na manyanyaso. Na wataipata.. . .MKATAA PEMAA.. . . PABAYA PANAMWITA.. ''Let us see!''
 
Back
Top Bottom