Hahahahah, povu lote hili kwangu. Kwanini unashambulie bila kujadili hoja ???
Nilichokiandika hakikuwa hoja sio?
Inaonekana unanifuatilia muda mrefu sana kujua kwamba mimi najifanya mjuaji humu ndani na huwa unateseka sana, Pole.
😝😝 huwa naona unayoyaandika na akipatikana mtu wa kukupa challenge huwa unakimbia.
Sasa turudi kwenye mada yetu, wewe wa Tanganyika unasema hili haliwezekani na ukatoa tafiti zako kwanini haliwezekani: Lakini sasa wasomi ambao ni World Class Intellectual from London School of Economics wanasema ndilo jambo linaloendelea sasa.
What a utter rubbish! LSEPS ndio wasomi wa daraja la dunia?
Kina Jo Beal, Rajesh Venugopal pamoja Dr Satoshi Kanazawa na tafiti zao za kipumbavu kabisa ndio unawaita wasomi?😝😝😝😝
Au nikupe research zao walizozifanya uone ushubwada wao
Inaelekea nao ni wajuaji pia kama wale wenzao wa Cambridge ambao hawajui kitu kupitia wewe.
Yani ni wajuaji alafu hawajui kitu.
Dr Kanazawa alifanya tafiti yake na kuja na conclusion eti wanaume ambao si waaminifu kwa wenza wao, wngi wao wana low iq. Real?
Hebu soma ujinga wao hapo chini. Ila nikupe hongera sana kwa kuwa moja watanganyika mwenye kuijua sana siasa ya Mashariki ya Kati.
View attachment 1269851
Ni wajinga tu hao.
Ulieleza awali habari za uwepo wa Turkey NATO.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Nilikusoma kwa makini sana maana nilishatambua msimamo wako!
Nakupa darasa huru, Tayyip Edorgan na chama chake wanataka kutengeneza jeshi la kiislamu ("army of islam") to wage against Israel!
Wanasahau kwamba yanayofanywa na Israel ndio wanayofanya wao.
Israel imeikalia Gaza na wapalestina wakileta ujinga ujinga wanawapiga kwa silaha ambazo zina white phosphorus kitu ambacho kilishakatazwa toka kuisha kwa WW2, Turkey ameikalia Kurds kwa kisingizio cha kuwapiga ISIS huko anatumia white phosphorus anawachapa kwelikweli! Waswahili wanasema Nyani haoni kundule.
Mimi naishi America, Edorgan wanamuita arrogant boy tu hana lolote, Turkey kuna nukes za America za kutosha ambazo ziko toka cold war, hawezi thubutu kufanya ujinga wowote dhidi ya Israel kwa sababu itakuwa ni vita ya nuclear tu.
Na kwa taarifa tu vita yoyote inayopiganwa mashariki ya kati inanufaisha mataifa matatu tu
ISRAEL! ISRAEL! ISRAEL!