Jerry Silaa
Member
- Jan 5, 2012
- 31
- 21
mkuu inasemekana kuhusu upokeaji wa zawadi upo juu na ndio maana wanafunzi wa KAMPALA UNIVERSITY MPAKA LEO MMEWAPOTEZEA WW NA SERIKALI YAKO JAPO WAMEOMBA SANA MSAADA WAKO KTK UFUMBUZI WA MATATIZO YAO NA CHUO ICHO CHA MAGUMASHI.....
LAkn mmekuwa kimya kwa kuwa kuna percent flani flani mnapata ili kuzibwa midomo....
Kama si kweli je huelewi kinachoendelea pale chuoni ....
mkuu inasemekana kuhusu upokeaji wa zawadi upo juu na ndio maana wanafunzi wa KAMPALA UNIVERSITY MPAKA LEO MMEWAPOTEZEA WW NA SERIKALI YAKO JAPO WAMEOMBA SANA MSAADA WAKO KTK UFUMBUZI WA MATATIZO YAO NA CHUO ICHO CHA MAGUMASHI.....
LAkn mmekuwa kimya kwa kuwa kuna percent flani flani mnapata ili kuzibwa midomo....
Kama si kweli je huelewi kinachoendelea pale chuoni ....
Mstahiki Meya;
Rushwa, ukiritimba na ubadhirifu ni moja kati ya matatizo makubwa yanayozikabili manispaa na halmashauri nyingi Tanzania. Kwa ujumla Ilala inakabiliwa na matatizo makubwa kiutendaji, rushwa na ubadhirifu, je wewe ukiwa kama meya una mikakati gani ya kuifanya Ilala iwe kioo cha ufanisi? Pamoja na kuwa na ufanisi kwenye ukusanyaji wa mapato Ilala ni nini kinakwamisha shughuli za miradi ya maendeleo? Nimeona umeweka mkakati mkubwa kwenye ukusanyaji wa mapato kwenye nyanja za elimu na afya lakini hujaongelea kuboresha huduma za elimu na afya. Kuhusu uchimbaji wa visima hili ndio suluhisho pekee uliloona? Hii karne ya 21 ni lazima uende na wakati. Visima ni sulihisho la muda mfupi tu; kama meya lazima uwe na mipango ya muda mrefu kuondoa kero ya maji, la mwisho ni hizi tuhuma za ngono kama zipo zifanyie kazi; unahudumia jamii haileti picha nzuri kwa kiongozi, na inaweza kuchangia kuanguka kwako kisiasa.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Ni mikakati gani ktk miradi ya maendeleo uliyokuwa nayo kwa ujumla na ipi umeshafanikiwa kuifanya hadi sasa hivi?.Chama, kwa kifupi nimesema focus kubwa ni revenue inhancement na kupunguza matumizi ya kawaida na kutumia fedha nyingi kwenye miradi ya maendeleo. Afya, pamoja na kupanua zahanati ya Pugu na Chanika kuwa vituo vya afya vilevile zahati ya mongolandege ipo kwenye soft opening baadae tuiupgrade kuwa kituo cha afya. Sasa mazungumzo yanafanyika na hospital ya misheni ya madafu iwe hospital teule. Elimu inachangamoto nyingi. Kwa sasa tunatafuta suluhu ya chanzo sustainable cha kugharamia elimu.
Mwenye tuhuma ni bora aziweke wazi na si haki na sisi ni binadamu kutuhumiwa bila tuhuma kueleza wazi na kuacha watu wanaamini. I believe im clean mwenye tuhuma aziseme.
I thought nilirespond hii.
Matatizo mengi ya KIU ni ya TCU, Loan Board na serikali. Najitahidi kuwa karibu na wanaKIU na lolote ambalo wanaamini naweza kulitatua au kufacilitate utatuzi milango yangu iko wazi.
Muheshimiwa Meya wa Ilala
Suala la kujenga parking za kutosha city center lipeni umuhimu wa juu ili kupunguza msongamano na parking za hovyohovyo pia hakikisheni kila jengo linalojengwa mjini ni lazima liwe na parking za kutosha watumiaji wake na wateja wao wanaofika kupata huduma kwenye majengo hayo
Hapa kuna issue tatu,
Moja ni sheria na taratibu, mfano mimi nikuambie utoke humu JF! Dispite na ulichofanya lakini sina legal authority ya kukufukuza. Dr Masaburi yawezekana alukuwa na hoja za msingi ila utaratibu alotumia sio. Na nisingependa mfanyabiashara yoyote anayefanya biashara na IMC afanye in harmony na si kutishiwa termination bila kuzingatia huo mkataba unaelekezaje kuhusu termination. Maamuzi ya kisiasa yakivunja mkataba matokeo yake mmeyaona Dowans.
Pili ni issue ya performance,
Pale ferry kuna changamoto zake ambazo lazma tuziaddress kabla hatujaweza kidhati kupima perfomance ya mfanya usafi. Soko lile kwa utaratibu wa sasa wa kutaka mkurugenzi alisimamie ni ngumu, tumeunda bylaw ya service boards ili kulisogezea attention.
Tatu issue ya interest haipo, yupo waziri mmoja aliniambia anaogopa kusukuma mambo eti ataambiwa ana interest. Ilala is a 91B sh council kama ingekuwa interest yapo maeneo makubwa mengi tu nisingefika kwa mfagizi wa feri. Kikubwa ni kuhakikisha mambo yanaendeshwa in harmony
Sijawahi kuona Meya mbovu kama huyu, huku kwenye Kata yake kama maeneo ya Ukonga-Ulongoni A barabara ni mbovu hakuna mfano yeye siku hizi anaishi Upanga na keshaipa kisogo Kata aliyopatia kura. Ni mfano mbaya wa viongozi vijana ambao wamekuwa wanapigiwa chapuo kuchukua madaraka.
Sijawahi kuona Meya mbovu kama huyu, huku kwenye Kata yake kama maeneo ya Ukonga-Ulongoni A barabara ni mbovu hakuna mfano yeye siku hizi anaishi Upanga na keshaipa kisogo Kata aliyopatia kura. Ni mfano mbaya wa viongozi vijana ambao wamekuwa wanapigiwa chapuo kuchukua madaraka.
Jamani Naomba nimsaidie kwa kusema wananchi wanapaswa kufahamu kuwa nafasi ya umeya ni celemonial posts na si executive posts ktk maana ya utendaji. kazi yake kubwa ni kuchair vikao na hatimae kuona halmashauri inakwenda kwa misingi ya maamuzi ya vikao hivyo. swala kama la kumfukuza mkandarasi ni la kisheria zaidi soma sheria yetu ya manunuzi ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya hivi karibuni ambapo utaona pale inasisitiza juu ya uwepo wa tenda board ambayo inateuliwa na accounting officer ambaye ni mkurugenzi kama mtendaji. kimsingi huwezi ona anazungumzwa meya, na kwa msingi huo napenda kusema si rahisi kwa meya kumfukuza/kumwajibisha mkurugenzi ama mtendaji yeyote haswa ukizingatia sheria yetu ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 na marekebisho yake ya mwaka 2008 kwa misingi kwamba umeya si chombo cha ktk ngazi ya kumwajibisha mtumishi wa umma, haswa ukizingatia level ya appointment kwa mkurugenzi wa jiji ni na manispaa ni Rais mwenyewe ukiacha halmashauri za wilaya ambako mteule wake kwa wakurugenzi ni prime minister kwa mujibu wa sheria no 7na 8 ya serikali za mitaa ya mwaka 1982 revised 2000. muundo wa serikali zetu za mitaa unapaswa kuangaliwa upya haswa ktk mchakato wa katiba mpya tunayotaka kuingalia kwa sasa, ili maombo yaweze kwenda sambamba na matarajio ya wananchi kwa viongozi wao kama madiwani/meya kuweza kuwapatia mamlaka angalau ya kufikia hatua ya kuteua na kuajiri ili waweze kwanamna moja kuwa independent, na kwa namana fulani kuzifanya his local authorities kuwa autonomous. (kumbuka kauli ya baba wa taifa isemayo serikali za mitaa ni serikali kwa mujibu wa katiba ibara ya 145-146 zisiingiliwe. nimeona nisemee hili kwasababu nimewahi kuwa diwani kwa miaka kumi na nimekuwa naibu meya wa jiji la mbeya. asante
Masomo ya O-level amesoma Pugu Sec.
Wakati akiwa O-level hakuwa na umaaruf wowote na hakuwahi kushika wadhifa hata wa class monitor
UDSM, BSc. Electronics,
Anakaa Gongo la Mboto mwisho wa lami,
Anamiliki bar inayojulikana kama Pugu Hills Pub ambayo ipo hapo hapo Gongo la Mboto mwisho wa lami,
Nitarudi muda si mrefu.....
Kama kila kiongozi akiamua kufanya biashara anafungua bar, hivi kweli wanakuwa wanawatakia heri wananchi wao?
Kwanini viongozi wetu wengi hawawekezi kwenye sekta za afya, elimu, maji na miundombinu ya mawasiliano?
Asante Hossam
Kwa faida ya wapenda maendeleo.
Bsc Electronics & Communication UDSM 2005
Atec II NBAA 2003
Cert in Law UDSM 2005
Siku mbili za kuona wananchi ,Monday & Friday
Kata ya Gongolamboto ni mpya kwa sasa tunatumia ofisi za kata ya Ukonga.
Website ya Council www.imc.co.tz
Namba ya wapiga kura ipo,lakini utaratibu mzuri ni kutumia forum zilizopo kuwasilisha.
Twitter Jerry Silaa
Upo muda maalum wa kukutana na wapiga kura. Kwa ujumla wananchi wanawakilishwa na waheshimiwa madiwani na wenyeviti wa mitaa. Hawa they are free to see me anytime.
Mimi sio mtumishi wa umma, ni kiongozi wa umma na ninadeclear mali na madeni chini ya Tamko kwa mujibu wa sheria ya maadili ya viongozi kila mwaka kabla ya 31st Dec.
Sina mshahara.
Posho 240,000 kwa mwezi na sitting allowance 60,000 kwa vikao ninavyohudhuria with a maximum ya vikao vinne kwa mwezi.
Hayo ya Ilala watajibu wenyewe.
Ilala ni manispaa sio jimbo na upo mango mkakati nitauweka kwenye website.
Sheria ya umaadili ya TZ ni tofauti ya marekani na haitoi fursa ya kudeclear zawadi. Lakini mimi sio mpokeaji mzuri wa zawadi za kiofisi. Integrity yangu kwa wafanyabiashara u can reserch.
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi ya madiwani ya mwaka 1979 inamtaka udiwani kama shughuli ya kujitolea na diwani anapashwa kuwa na shughuli tofauti na nafasi nyingine za umma, udiwani hauna reflection ya lifestyle. Na kwa kuwa kiongozi wa metropolitan hakuna lifestyle utayoishi ikareflect wananchi wote.
Ushiriki wa shughuli za umma ndio majukumu ya msingi ya kiongozi ws kisiasa. Majibu mazuri ungewauliza waigakura wa Gongolamboto na General Public, majukumu nimengi na pale muda unaporuhusu tunashiriki. Sasa kama kuna mwandishi amecover ukaiita publicity sawa, lakini na yenyewe muhimu ili watu kama nyie muone ushiriki.
Uchaguzi wa 2015 kwa style yangu ya siasa utazungumzwa 2015. Na kwa taarifa yako siasa ya nchi hii what u have done itakupa 20-30 %.
Bajet ya umeya : fomu lak 2, mafuta ya kuzungukia kuomba kura, simu ya logistics + 7m ya udiwani.
Facebook Jerry Silaa
Hivi hata vyuo vyikuu vinairatibiwa na meya wa manispaa?mkuu inasemekana kuhusu upokeaji wa zawadi upo juu na ndio maana wanafunzi wa KAMPALA UNIVERSITY MPAKA LEO MMEWAPOTEZEA WW NA SERIKALI YAKO JAPO WAMEOMBA SANA MSAADA WAKO KTK UFUMBUZI WA MATATIZO YAO NA CHUO ICHO CHA MAGUMASHI.....
LAkn mmekuwa kimya kwa kuwa kuna percent flani flani mnapata ili kuzibwa midomo....
Kama si kweli je huelewi kinachoendelea pale chuoni ....