RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI


Operation haijakufikia sio?
 
Wananchi wa Rwanda ni solid majority. Wanamsapot kila anaetumia mtutu kutawala. Inasikitisha
 
Siwezi umiza ubongo wangu kutumia analytical skill yangu ku analyze majungu...kwa sababu conclusion yeyote inayotokana na wrong assumptions (premise) ni false....


 
Siwezi umiza ubongo wangu kutumia analytical skill yangu ku analyze majungu...kwa sababu conclusion yeyote inayotokana na wrong assumptions (premise) ni false....

Una uhakika 100% kuwa habari hii ni majungu?
 
Mimi nimeshanunua vitu mara nyingi nguo viatu na ni kweli sikumbuki kama nimewahi kupewa risiti ya aina yoyote, ila hata juzi alhamisi nimesimama hapo virago na kukuta wamefanya partition ila mzigo bado ni ule ule wa mwaka jana, hebu watu wa tra tupatieni majibu na kama hawalipii kodi kwa nini bado vitu vyao ni aghali?
 
Mdau sio wote wanaishi Dar wengine hawapo Tanzania. Tumia ubongo usioneshe ujinga wako kwa kijifanya mjuaji kumbe muungua jua tu. Huna cha kuchangia tulia soma kisha subiri wenye mawazo na michango wachangie.

Naogopa kuchangia!!! Daah?
 
Sawa sawa kabisa!!
 

Hakuna uzalendo
 
Hoja ina mashiko, nina wasiwasi na wanaoponda huenda ndiyo walee! KIKULACHO KI NGUONI MWAKO, MARAIS KARIBIA WOTE WANA "MIRADI" NA MISSION ZAO ZA SIRI!
 
msidhalilishe mke wa rais na dada wa kabila. Maduka yale yana hadhi ya kumilikiwa na Kina Snura,Isha Mashauzi na Dida wa Mchops!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…