ok learned bro, now you come with evidence, in regards to what we discuss, ona usivyo na hata lepe la ushahidi ukiachia ushabiki....kamuulize kagame kwanini anaua wapinzani wake na wote tunaona??USIHANGAIKE NA AKINA COMICAL ALLY wa Tanzania, watabisha chochote ili mradi kinaigusa ile familia inayo wapa mkate.they never think,reason they just draw conclusion without supporting evidences, purely a layman way of presentation.
Like serious tunazungumzia duka la nguo ambalo watu wa michepuko uwafungulia michepuko yao ...she is the first lady for crying out loud hata kama angekuwa ni owner wa Mr Price ya mlimani City hakuna cha kushangaa...
Jamani sisi si wajamaa kwamba kila mtu awe masikini kaputi...
wewe unaushahidi gani kuhusu uhisuka wa ndugu ya kabila kama si umekaririshwa na andiko la news of rwanda, unless you have evidence huna la ziada kusemea katika hili, majadiliano ya maduka ya nguo ni level za kina mama kuangalia duka lipi ni zuri kwa manunuzi ya kupendezesha mionekano yao, issue ya kodi hata wewe hapo ulipo hulipi inavyokupasa, so kama unaguswa sana na issue ya kodi fuatilia traMaduka ni moja tu....
Lakini kuna kukwepa KODI na Maduka kutumika kufanyia biashara haram ya madini a.k. blood minerals
Pia uhusika wa NDUGU YA Kabila....lazima tuhoji mkuu.
Mbona marekani walipomsema yule "MAMA" kuwa ni mfanya biasara maarufu wa madawa ya kulevya walikurupuka haraka kumkamata....was it not from a mare external source.
You should learn to be objective, focused, and improve your analysis skills especially on "root course analysis"
DR.Ulimboka, Dr. Mvungi, Balali, MWANGOSI, ni victim wa KAGAME???? dont meander from the TOPIC...i real doubt if your okay...i wonder if that place in "DODOMA" computers are allowed these day.ok learned bro, now you come with evidence, in regards to what we discuss, ona usivyo na hata lepe la ushahidi ukiachia ushabiki....kamuulize kagame kwanini anaua wapinzani wake na wote tunaona??
you are a typical product of kagame puppets, all hearsay and cooked facts, but kuhusiana na huyo bosi wako , mambo yapo wazi kabisaDR.Ulimboka, Dr. Mvungi, Balali, MWANGOSI, ni victim wa KAGAME???? dont meander from the TOPIC...i real doubt if your okay...i wonder if that place in "DODOMA" computers are allowed these day.
look here youngman, Kagame anaweza kuwa anafanya makosa na anafanya kweli,lakini hapa JF tunawajibu wa kujibu hoja kwa evidences.kama huna subiri walionazo.jukumu letu hapa ni kujitofautisha na habari za kiudaku! Ni rahisi kuja na counter evidences to prove him wrong.kama tukijua ni uongo tunaweza kusonga mbele na kujiuliza what was his motive behind? kumbuka washirika wa Kagame wamo humu na pengine hata yeye mwenyewe yumo.Kama ni kweli pia tutajiuliza nini anakitaka? pengine anataka aondoe amani ndani ya TISS ili waanze kutafuta nani msaliti au hata ikulu iache kuwaamini baadhi ya watu ndani ya TISS.watakuwa wamegawanyika they will be no longer one! kumbuka jeshi lililogawanyika haliwezi kushinda vita.TUSINGIE KWENYE MTEGO WAKE BLINDLY,Tuchunguze tuwe na ukweli ndio tunaweza kumkabili ki propaganda,hewani na ardhini.hope umenielewa.ok learned bro, now you come with evidence, in regards to what we discuss, ona usivyo na hata lepe la ushahidi ukiachia ushabiki....kamuulize kagame kwanini anaua wapinzani wake na wote tunaona??
look here youngman, Kagame anaweza kuwa anafanya makosa na anafanya kweli,lakini hapa JF tunawajibu wa kujibu hoja kwa evidences.kama huna subiri walionazo.jukumu letu hapa ni kujitofautisha na habari za kiudaku! Ni rahisi kuja na counter evidences to prove him wrong.kama tukijua ni uongo tunaweza kusonga mbele na kujiuliza what was his motive behind? kumbuka washirika wa Kagame wamo humu na pengine hata yeye mwenyewe yumo.Kama ni kweli pia tutajiuliza nini anakitaka? pengine anataka aondoe amani ndani ya TISS ili waanze kutafuta nani msaliti au hata ikulu iache kuwaamini baadhi ya watu ndani ya TISS.watakuwa wamegawanyika they will be no longer one! kumbuka jeshi lililogawanyika haliwezi kushinda vita.TUSINGIE KWENYE MTEGO WAKE BLINDLY,Tuchunguze tuwe na ukweli ndio tunaweza kumkabili ki propaganda,hewani na ardhini.hope umenielewa.
Like serious tunazungumzia duka la nguo ambalo watu wa michepuko uwafungulia michepuko yao ...she is the first lady for crying out loud hata kama angekuwa ni owner wa Mr Price ya mlimani City hakuna cha kushangaa...
Jamani sisi si wajamaa kwamba kila mtu awe masikini kaputi...
Weka picha tafadhali
sasa mkuu Songoka kuunga herufi za renzo ili upate jina ulitakalo wewe si utoto jamani! Mbona wewe pia herufi za jina lako zinaleta'Kasongo'jina la wenyeji wa congo mashariki!.umenena mkuu...sababu PROF alishasema 'watoto wao wanauza sembe na hakuna wa kuwakamata'
DR.Ulimboka, Dr. Mvungi, Balali, MWANGOSI, ni victim wa KAGAME???? dont meander from the TOPIC...i real doubt if your okay...i wonder if that place in "DODOMA" computers are allowed these day.
Watanzania niwatu wazuri sana,wanapigania haki za wengine lakini hawawezi pigania haki za watanzania wenzao wanaopoteza maisha ovyoovyo mikononi mwa serikali,hawaulizi why watoto wakitanzania wanageuzwa punda na hao wakubwa,lakini wanakua wepesi kumkashifu pk mtu ambaye anajitahidi kuimalisha maisha ya watu wake.
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake
WATUTSI mmelianzisha tena!sikilizeni nyie MENDE hamtuwezi WATANGANYIKA,bora mtulie tu.
Mukamasimba Tz ni zaidi ya ujuavyo muilize babayo na mamayo waliokaribishwa Tz.Tuna mfumo wetu huo ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali mueleweshe Pk.
Mkishamaliza propaganda zenu sisi tunawaanza kuwaekea facts.