Mdau sio wote wanaishi Dar wengine hawapo Tanzania. Tumia ubongo usioneshe ujinga wako kwa kijifanya mjuaji kumbe muungua jua tu. Huna cha kuchangia tulia soma kisha subiri wenye mawazo na michango wachangie.wewe unapajua mikocheni ama hupajui!? Na kama unapajua kunauzitogani wewe kupita kujionea hayo unayoyauliza hapa maana hayo maduka yapo barabarani kabisa hata kama huna gari daladala tu linatosha maana ukishuka tu unaingia..au kama hupajui sema nikuelekezea
hivi hamjiulizi kwanini Propaganda zao Rwanda mara zote wana exclude Mh J K kiwete na Tanzania ili wa win cheap propaganda?muda huohuo wanasahau na kumjumuisha PK na Rwanda?
"Huu ni uoga.....ambao madhara yake wanayajua"-hii ndo jibu lake na sio kila unaloambiwa ni la kweli wakuu tumieni medulla oblangata kidogo on this fabrications issues
Yapo tena road tu ila sina details maana sijawahi kuingia au kuwepo mitaa hiyo kwa muda mrefu kiasi cha kujua nini kinaendelea hapo.
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake
pamoja na maswali haya, lakini bado mleta mada unaweza kutujuza angalau ujuavyo hayo maswali uliyoyauliza.
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake
sawa wengine hawakai dar sikuona sbb ya watu kunishambulia na matusi..in short hayo maduka ya nauza manguo ya mavitenge na mabazee na jingine wanauza magauni ya usiku na kawaida hamna nguo zozote za design sidhani kama nguo ya design unaweza kuinunua kwa laki 2 mpaka 3 naiyo ishu ya vito hamna vito vyovyote vinavyouzwa humo ni mashanga tu ya kawaida ya kichina..kwa wale wanaoishi dar wapite wajionee wenyewe sio blabla hapa .mimi huenda pale kama nina sherehe ya harusi nataka kununua nguo so si muendaji sana mengine siyajuiNan kakwambia kila member anakaa dar mkuu??? asante kwa kunijuza kuwa yana exist, labda unajua kuhusu hayo mengine tunayohoji??
Mkuu hapa hoja si RWANDA bali ni kujua ukweli kuhusu biashara ya madini na uhusiano wa salma na dadayake kabila na maduka hayo lakini cha msingi ni JE ni kweli hawalipi KODI???????????????/
hiyo hoja umeijulia wapi na lini na nani amekuambia kama sio article ya warwanda?...........which means ungeambiwa kitu chiochote cha hatari kwa akili yako ungekubali tu,kwani wanyarwnda ikitokea wakamzuru JK nani atadhurika na kugharamika?
Tutangulize utaifa mbele ndugu.........hizo ni element za u traitor!!huwa najiuliza sana wakoloni wangekuwepo hadi leo sijui nani angelikomboa hili taifa maana propaganda hata ambayo haina kiwiliwili people take into consideration,soma hapa chini uone jinsi dunia inavyoendeshwa
The Protocols of the Elders of Zion - Wikipedia, the free encyclopedia
Na kwa hili inawezekana hata SEMBE inauzwa hapo kwani kama wahusika ni hao waliotajwa hakuna Polisi wala Usalama wa Taifa anayeweza kupafanyia kazi hapo.
Kwa Viraza Wote Ambao Wanambeza Mleta Mada. Majibu Yashaanza Kupatikana Kuwa Haya Maduka Yapo
1. Inaonyesha Kwenye Habari Ya News Of Rwanda Kuna Chembe Ya Ukweli Hata Kama Wamepresent Kipropaganda
2. ---- Ukweli Wa Kwanza(uwepo Wa Hayo Maduka Katika Sehemu Husika) Umedhihilika, Kwa Nini Tupuuzie Hoja Nyingine
Mleta Mada Ana Hoja Ya Muhimu Napenda Apewe Ushirikiano
Mkuu msingi wa hoja yangu ni kujua UKWELI wa hii kashfa ndo maana nimekuwa very specific katika detail. Kama M
nataka tujadili ile coltan ya kongo huwa rwanda wanaipeleka wapi?? tuachane na porojo hapa za viduka, wewe mpaka uambiwe na kagame miles away uje kutushupalia hapa, kwanini wewe usitafute muda uende TRA ukaulizie kama mmiliki analipia kodi, au nenda brela kaulizie umiliki wa kampuni hizo, kuliko kutupotezea muda hapa kutuuliza sijui nini na nini , kwa kua kagame kasema, nauliza dhahabu, almasi na coltan ya drc inafanya nini kigali, nijibu
Kwa nini usijiulize TANZANITE ya tanzania inafanya nini SOUTHAFRICA????? poor mind