Rene Meza wa Vodacom aula Kampuni ya Mawasiliano Qatar

Mkuu Jmali nadhani Vodacom ni part of Vodafone ambayo iko listed London(FTSE) ,, au?

Vodacom Tanzania is owned by vodacom Group ya South africa kwa asilimia 65%, vodacom Group (SA) iko listed JSE, vodacom group SA ndiyo inayomilikiwa na vodafone ya uingereza kwa asilimia 65%. Lakini kwa muktadha wa mjadala wetu, vodacom Tanzania bado ni private company.
 
Thanks Mkuu nimekupata!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom