RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique

25 Apr 2021
Kilwa, Lindi
Tanzania

1,000 Kilograms of drugs found on a boat in southern Tanzania




District commissioner in Lindi region southern Tanzania said a dhow carrying 1,000 kilograms of Heroin (known as diacetylmorphine and diamorphine) was intercepted out in the sea. On board there were 10 people who seemed to be coming from countries around Pakistan. The destination of this cargo and the dhow is still unknown.

The Investigation is still going on to determine the nationality of the people on board. The district commissioner vowed that the coast guard boats patrolling Indian ocean waters way in Tanzania are on full alert to prevent smuggling of drugs into Tanzania or neighbouring countries.
Source : millard ayo

23 April 2021
Lindi, Tanzania

7 suspects have been charged before the Resident Magistrate court in Tanzania

Source : mashujaa tv
 
Katiba upuuzi mbele ya roho za watu,hili walilokutana nalo ni janga la kivita linahitaji hali ya dharula, msitetee ujinga kwa kutaka kugeuza kila kitu siasa mpaka kwenye maswala ya husishayo roho za watu.
Nakuelewa mkuu hawaelewi maelfu ya watu wamekufa kipindi cha miaka mitatu hao renamo walikuwa wapi?siasa zingine za kinaa sana serikali isirudi nyuma wapambane na hao vibwengo;Renamo wasubiri wanaume wafanye KAZI!!
 
Vita hii inatumika kama kichaka cha kutakasa fedha chafu, rushwa na kuweka uchochoro wa kupitishia madawa ya kulevya na ndiyo maana chama tawala kinachonufaika hakitaki kuweka mambo hadharani kupitia Bunge ambalo lingeweka mazingira mazuri ya vita hivyo kuisha ndani ya muda mfupi.

Lakini utawala unataka kurefusha vita kwani wananufaika na hali ya mapigano kwa wakubwa wachache na familia zao kupata utajiri wa kutisha pia pesa chafu kufadhili shughuli za kisiasa za chama tawala FRELIMO kibaki madarakani.
 
Katiba imevujwa, jamaa wa RENAMO wanakumbushia umuhimu wa katiba, bila hivyo serikali inaweza fanya chochote ktk mazingira yoyote ikiwa haifuatia katiba iliyopo. Hilo ndilo upinzani unachelea tabia hiyo kukomaa.

So watu waendelee kuuwawa na magaidi kisa wakiogopa katiba kuvunjwa?
 
Mkuu mbona hoja imenyooka tu?

Hapa hawapingi lakini inaonyesha katiba tu haijazingatiwa..hili jambo muhimu.

Ujio wa majeshi ya kigeni yana faida na hasara nyingi.

Jeshi kama la Kagame ni magaidi tu...lazima watoke na maliasili huko...rejea vita ya kongo na majeshi ya kigeni
Uzuri kagame yeye hajali kelele yeye Ni kazi tu na maliasili akizikuta anazikomba Kama inavyotakiwa.
 
Ingekuwa mimi ni rais wa msumbiji ningetoka hadharani niwaambie waziwazi kama mngekuwa na mapenzi mema na wananchi wa msumbiji nyie ndo mlipaswa Kuwa wa kwanza kupeleka mswada bungeni kuomba msaada wa majeshi ya nje Kuja kuokoa roho za wananchi wetu, na sio msubiri tumeshaanza ndo mnapiga kelele. Acheni unafiki au kama mnanufaika na Hawa magaidi mseme
 
Hilo li Mondrane jinga tu..Africa ni moja sana....jumuia ya .SADACC siyo majeshi ya kigeni hayo..ni ndugu wa damu hasa Mmakonde wa msumbiji na wa mtwar ni sawa linatumiwa hilo jamaa sijui km liko hai nitashangaaa.

Mwafrica mweusi kufa ktk ardhi ya africa ni kosa la jinai ndo sheria mama za sadacc tena wana bahati sana vichwa maji km sisi hatupewagi uongozi huko sadacc. Kuwasambaratisha hao wajinga ni dkika sifuri...afu wanalinda wao kwa machozi... Sijui hawa viingozi wanamasrahi labda na hizo vurugu? Nikamate kabisa Smg tu bila hand grenades nani akatize weee!!!@
HAPANA. .apa umetumia hisia na mihemko.
Katiba yao imeweka utaratibu na A.U inazo principles zake...kushindwa kuziheshimu na kuzifuata unakua unatengeneza tatizo jingine
 
Ingekuwa mimi ni rais wa msumbiji ningetoka hadharani niwaambie waziwazi kama mngekuwa na mapenzi mema na wananchi wa msumbiji nyie ndo mlipaswa Kuwa wa kwanza kupeleka mswada bungeni kuomba msaada wa majeshi ya nje Kuja kuokoa roho za wananchi wetu, na sio msubiri tumeshaanza ndo mnapiga kelele. Acheni unafiki au kama mnanufaika na Hawa magaidi mseme
Kweli Siasa za mihemko mlizofunzwa wakati wa awamu ya tano ni hatari sana
 
Ingekuwa mimi ni rais wa msumbiji ningetoka hadharani niwaambie waziwazi kama mngekuwa na mapenzi mema na wananchi wa msumbiji nyie ndo mlipaswa Kuwa wa kwanza kupeleka mswada bungeni kuomba msaada wa majeshi ya nje Kuja kuokoa roho za wananchi wetu, na sio msubiri tumeshaanza ndo mnapiga kelele. Acheni unafiki au kama mnanufaika na Hawa magaidi mseme
Sawa kabisa mkuu.
 
11 August 2021

Rwanda, Mozambique forces pursue rebels after port city recaptured


A joint force of troops from Mozambique and Rwanda which regained control of a strategic port from the armed group al-Shabab in the north says it is still pursuing the fighters in neighbouring areas. Mocimboa da Praia was a major rebel stronghold used by the group to launch attacks in other parts of the mineral and natural gas rich Cabo Delgado province. More than 3,000 Mozambicans have been killed and up to 800,000 displaced since a rebellion started in 2017
Source : Al Jazeera
 
10 August 2021
Cabo Delgado, Mozambique

Wananchi wa Cabo Delgado wazungumza ujio wa majeshi ya Rwanda

Baada ya operesheni ya majeshi ya Rwanda nchini mwao, watoa shukrani kwa kuwafurusha magaidi ndani ya muda mfupi toka eneo la Mocimboa da Praia


Citizens of Mozambique upbeat after the capture of insurgents’ base in Cabo Delgado
Source : Rwanda TV
 
10 Aug 2021
Palma, Cabo Delgado
Mozambique

"Majeshi ya Rwanda ni Wakombozi” –Augustino Fernando, Raia wa Palma, Musumbiji



“Majeshi ya Rwanda ni Shujaa” –Augustino Fernando, Raia wa sehemu ya Palma, Musumbiji
Source : RwandaTV
 
10 August 2021
Mute, Mocimboa Cabo Delgado
Mozambique

Wananchi wa eneo la Mute, Mocimboa Mozambique wafurahi pamoja wanajeshi wa Rwanda


Source : RwandaTV
 
10 August 2021
Mocimboa da Praia
Mozambique

Ushirikiano wa kijeshi baina ya Mozambique na Rwanda wapongezwa


Maofisa wa kijeshi wadokeza kuwa operesheni hiyo maalum ya kurudisha utawala wa serikali maeneo kaskazini ya Mozambique unaendelea vizuri. Wamesema baada ya kukomboa sehemu ya wilaya ya Mocambio da Praia sasa wataendelea na kampeni hiyo ya kijeshi kukomboa maeneo mengine zaidi.

Eneo hilo la Mocambio da Praia pamoja na kiwanja cha ndege sehemu hiyo kilikuwa chini ya magaidi kwa muda wa takriban miaka 5 kabla ya operesheni maalum ya majeshi ya Mozambique na Rwanda kulikomboa.
Source: RwandaTV
 
10 Aug 2021

Evidence found linking Mozambique insurgents to terror organisations



Security Organs in Mozambique and Rwanda Security Forces operating in that country say they have found evidence to indicate that the elements that have been causing insecurity in the Province of Cabo Delgado do indeed belong to terrorist organizations
Source : RwandaTV
 
10 August 2021
Kigali, Rwanda

RBA FULL English News Bulletin: 10.08.2021



A Joint military Operation of Mozambique and Rwanda armies have uncover Evidence of foreign elements participation in destabilising peace in the northern province of Cabo Delgado in Mozambique
Source : RwandaTV
 
Back
Top Bottom