Majeshi ya Rwanda yakomboa na kukabidhi bandari na airport ya Mocimboa da Praia kwa Majeshi ya Mozambique
Tazama Operesheni fagia ilivyoanzia rasi ya Afungi, kwenda Mute mpaka eneo mkakati lenye bandari ya Mocimboa da Praia na uwanja wa ndege
Carbo Delgado provincial governor Valige Taliabo says that an analysis will be conducted on the damage caused by the insurgency to the local communities who were displaced by the fightings before reclaiming their property. He made the remarks after visiting Mocimboa Da Praia that was recently liberated by Rwandan and Mozambican troops from terrorists who had turned it into their main base
Source : RwandaTV
Hotuba ya Mh. Rais Paul Kagame alipotembelea vikosi ya Jeshi la Rwanda ndani ya Mozambique
Awapa moyo wapiganaji kwa kufanya kazi nje ya nchi kusaidia kuleta amani katika jimbo la Cabo Delgado na pia kusema itawajalivfamilia za askari wake walioojeruhiwa au kupoteza maisha katika operesheni hiyo ya jeshi la Rwanda RDF dhidi ya magaidi .
Rais Paul Kagame alitoa hotuba hiyo akiongozana na Mh Rais Filipe Nyusi wa Mozambique wakati wakitembelea vikosi hivyo vilivyopo mstari wa mbele wa mapambano ndani ya Mozambique katika jimbo la Cabo Delgado lililoathirika na mashambulizi ya magaidi
Source : IGIHE
Paul Kagame : Ni jukumu la serikali ya Mozambique kutafuata amani
Rais Paul Kagame asema vikosi vya majeshi ya Rwanda RDF na yale ya SADC hayawezi kukaa kwa muda mrefu. Hivyo ni jukumu la serikali ya Mozambique na raia wake kutafuta suluhisho la kudumu la Amani irejee na kuwa amani endelevu bila kutegemea majeshi toka nchi zingine za Afrika.
26 Sept 2021
Pemba, Cabo Delgado
Mozambique
Paul Kagame: Rwanda troops cannot stay in Mozambique forever
President Paul Kagame of Rwanda says that his country's troops currently on a mission to neutralize Islamist insurgents in Mozambique will not stay there indefinitely but adds that it is up to the people of Mozambique to decide.
Source : CGTN Africa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.