Remuneration katika sekta ya benki

Kwa mazingira ya uchumi ya sasa kazi kwenyo hizo banks ulizozitaja ndo zipo stable na zina security hata kwenye maslahi pia sio kubaya. Acha uwoga nenda kakomae huku mtaani hakufai, ukijifanya mjuaji utachezea za ugoko, majira yamebadilika
 
Ushauri Konki sana Mkuu, ila CRDB naona kama wanalipa vizuri zaidi ya NMB au unaonaje Kiongozi!
 
Basic salary ni 5M,

Housing allowance 600K,

Transport allowance 300K,

Meal allowance 200K,

Haya nenda ukachape kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaza na kujishauri kupata kazi... wakati watu wanawaza kukosa kazi...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…