Wakati nikiwa shule nilifundishwa wimbo wa taifa ni moja ya vitambulisho vya taifa kama ilivyo bendera ya taifa ambayo huwezi kuibadilisha kirahisi, leo nimesikia radio clouds wameufanyia remix sijui kama wana ruhusa kamili. Kama ni rahisi kiivyo tusishangae kusikia ukipigwa kwa bit za bongo flava kwenye ma bar watu wakakatika viuno wakiucheza.
Cku hz mbona ovyo tu hata bendra ya taifa iko 2 kwnye matangzo ya pombe nk.

Enzi hizo mgambo akipiga filimbi kuashiria kushusha bendera lazima usimame hata kama ni ya CCM.Ile amri ya ukisikia wimbo wa taifa usimame ilikuwa mwisho enzi za nyerere
Clouds huwa wanajifanya kuchamba sana hadi wanapitiliza, na huyo machozi wao kama ana sauti nzuri akawaimbie walevi kwenye bar yake na si kuchezea wimbo wetu wa taifa.hakika hii thread imenifurahisha sana big up kwa wote mliochangia!