Remix ya wimbo wa Diamond (kimya)

Huu ndio wimbo sasa.

Sio yule boya wa Madale aliejazwa unafiki,husuda na roho mbaya kwa watanzania wenzie kisa kapewa pesa mbuzi
 
usifanye vitu kwa miemko ndugu yangu uku wewe ustahili mwachie ney na roma we endelea na mapenzi na kukata viuno stajini kaka
 
lara 1 wewe ajuza kumbe upo? stress zako za maisha unazihamishia kwa Diamond....huna hadhi hata ya kuwa house girl wa diamond...
 
I dont care about his message.....I do care about his voice....dogo ana sauti nzuri balaa...anaitwa nani?
 
Inawezekana huu ndo nlikuwa orginal alipomsikilizisha bashite ukafanyiwa edit...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…