Remember this???

Remember this???

chief bazoka

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
97
Reaction score
22
Nani anaikumbuka hii kitu
 

Attachments

  • 1396547322090.jpg
    1396547322090.jpg
    26.6 KB · Views: 101
Ndio namim nahisi hyo,vituko vingi plus vitisho hatari..
 
da! we jamaa umenikumbusha kitambo sana. hii tamthilia ilikuwa inaoneshwa ITV nadhani mwaka 2003/2004 ilikua inatisha sana. niambie jina lake tuwaombe itv wairudie(nyumbani tulikua tunaiita movie ya babu wa pua)

enzi zile kulikuwa na kali nyingine kama best master, nikita nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom