.............In early 2006, Israel's then-prime minister, Ariel Sharon, suffered a devastating stroke that ended his political career but not, as it turns out, his life. All but forgotten, Sharon is nevertheless alive, thanks to a life support system that costs the family and state 300,000 euro per year.....................
The high price of survival
Sharon is, however, a very expensive patient. His hospital treatment costs nearly 300,000 euros per year. Thanks to a decision in August, 2010 by the Israeli Parliament, the Sharon family now has some help with the hefty hospital bills – from the state, which agreed to bear half the costs.
Since then, the Israeli press has lost interest in Sharon – though not in his sons, Gilad and Omri Sharon. This past February, police recommended that criminal charges be brought against the two men, who are accused of profiting from bribes and kickbacks to the tune of $4.5 million. Investigators suspect the money came from a man named Martin Schlaff, an Austrian businessman who wanted to build a floating casino in the southern city of Eilat.
Soma habari kamili - Ariel Sharon- Nearly-six-years-coma-and-israel-stays-
.
Haya maswali yanaweza yasiwe muhimu sababu ni mambo ya waisrel hayatuhusu lakini tuna la kujifunza. So turudi nyumbani hapa Tanzania .Je kwa viongozi wetu wanaostahiki kutibiwa wanatibiwa na pesa za walipa kodi mpaka kifo kama Raii, PM, etc iitokea hali kam hii ya airel sharon
- Why is Ariel Sharon still alive? He's been in a coma since 2006..... with little or no chance of waking back up...?
- Why is he being kept around? What is his significance to Israel?
EMT aliwai anzisha mada ya utu sasa hapa ni busara ya utu ndio inamuweka hai jamaa au ni SIASA?
- Ni nani wa kuamua. Mfano kama familia ya nyerere ingegoma kuondolewa kwa mashine
- Na kama serikali ndio Muamuzi ni vigezo gani vinatumika katika hali kama hii.......
Karibuni tujadili
I consider this to be one of the very challenging topic, it's like a topic of when is a person considered dead, is it when his/her brain fails to operate or when the heart stops pounding/beating?
Anyway what i'm trying to say is, why wasting the money over life supporting machine, while the person's condition continues to deterioration? If that person is real destined to survive put away life supporting machine, it's so torturing to the people who are taking care of him.
Topica jadili mada mapenzi au uadui wa Iserl tuweke pembeni .. mimi nimeweka hii mada si sabau ya sharon ila scenario hiyo. MfanoI said in 2006 and I say it again;
Sharon Mbiguni hatakiwi, na Duniani hatakiwi (yuko between dunia na ahera)
Laana ya watoto wa kipalestina inamsumbua...na bado kiama ni hali itakuwa mbaya
He has to REPENT
Its very challenging especial when the expense of keeping an individual "alive" go to tax payers. In Israel it has reached a point where the expense is shared between family and Government .
Now am wondering wht if the same scenario was in Tanzania?
Topica jadili mada mapenzi au uadui wa Iserl tuweke pembeni .. mimi nimeweka hii mada si sabau ya sharon ila scenario hiyo. Mfano
Naomba tujadili hoja ya scenario zaidi kuliko mtu (sharon) sisi kama watanzanai tujiulize waht is the right thing to do kwa viongzi wetu wakiwa katikata hali kama hiyo. Kama unaona huweiz kumjadili sharon assume kiongozi mwinginee yeyote anayetibiwa ka pesa za umma yuko katika hali hiyo....... Assume if it was Yassin Arrafat in that situation kama inaweza kusaidia kwenye mjadala
- Nyerere wakati kaugua familia ingegoma kutolewa mashine ingekuwa sahihi au si sahihi?
- Ikitokea kiongozi mwingine yeyote akawa katika hali kama hiyo nani ni muamuzi wa nini kifanyike........
Sharon alikuwa na mfumo wa piga nikutwange
nampenda sana huyu jamaa as hakuwa anaentertain round table discussions.
jamaa ni kamanda kisawasawa
" Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila yeye. Na ikiwa akikugusisha na kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uwezo wa kila kitu" Quran:6:17Sharon alikuwa na mfumo wa piga nikutwange
nampenda sana huyu jamaa as hakuwa anaentertain round table discussions.
jamaa ni kamanda kisawasawa
Watu kwa kujiliwaza na ushabiki hamjambo . Mtu hajitambui wewe unasema anaonja adhabu. Ndiyo yale yale walisema Lundenga akifa watasusia maiti yake. Sasa anaumia nani" Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila yeye. Na ikiwa akikugusisha na kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uwezo wa kila kitu" Quran:6:17
jamaa anaonja adhabu hapa hapa Duniani !
Kwa kuwa wewe ni Mgala hii elimu ni kubwa kwako kuelewa ! Ndio maana mnajihukumia ninyi wenyewe kuwa mmeokoka! Sijui kesho siku ya Kiama M'Mungu atahukumu nini ! Hivi mtu akiwa kufa hafi na kuishi haishi hayo si mateso ? Mara kadhaa wagonjwa na familia husika nchi zilizoendelea wamefungua kesi Mahakamani wakiomba ndugu zao au wagonjwa wenyewe ''wamalizwe'' ili waepukane na mateso (ya kiuchumi, kisaikolojia, na kimwili). Miaka sita jamaa wanalipia bill ''zombie !''Watu kwa kujiliwaza na ushabiki hamjambo . Mtu hajitambui wewe unasema anaonja adhabu. Ndiyo yale yale walisema Lundenga akifa watasusia maiti yake. Sasa anaumia nani
Anyanyuke sasa ! ALLAH'U AKBAR !Sharon angekuwa Madarakani iran ingekuwa inachezea kichapo huwa hapendi kuongea sana ni kichapo tu i like him.
Sharon angekuwa Madarakani iran ingekuwa inachezea kichapo huwa hapendi kuongea sana ni kichapo tu i like him.
Wakati wa Noah A.S, alipokuwa anajenga SAFINA, jamaa pale mjini walimcheka sana na kumkejeli wakasema '' Mungu kitugani bwana!'' na kumkomoa zaidi usiku walikuwa wanakwenda kunya kwenye hilo Jahazi !there some people here are very and very sick!!dont you ever have something in your brain?
dini kitu gani bwana!?
but they should stop now that supporting machine seriously...