Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
kama huzitaki hizo kelele mbona umeenda kuishi karibu na msikiti? why dont you just shift. mimi hizo kelele ndo zinaniamsha kuja kwa ofisi meeen!
"Ni kwamba makanisa na misikiti wafunge sound proof, wanatukela mno tena mno,serikali inaweza kuwambia bwana fungeni sound proof sio wanfungua makanisa alafu makelele mtindo mmoja, by the way lile kanisa la tabata kisiwani mchungaji amesalimu hamri na kulivunja na kufunga vilago baada ya kushindana na msikiti jirani, matokeo yake maumini wakaanza kuondoka mmoja moja.
Vivi ,hivi unaweza enda mahali gani usikutane na misikiti au kanisa? labda Obay.wanganpi wanaweza afford kuishi huko Obay? wachache sana wenye class kama yako.hivo haiepukiki.kama huzitaki hizo kelele mbona umeenda kuishi karibu na msikiti? why dont you just shift. mimi hizo kelele ndo zinaniamsha kuja kwa ofisi meeen!
Vivi ,hivi unaweza enda mahali gani usikutane na misikiti au kanisa? labda Obay.wanganpi wanaweza afford kuishi huko Obay? wachache sana wenye class kama yako.hivo haiepukiki.
nimekaa sana Uswazi kabla ya kufikia hapa! Nilikua najitahidi sana kuji distance na misikiti.
Hapo kwenye ka red. naona kama umeanza utani vile!
Yani vvan umekimbia azana kwa kutumia ATM ya jamaa yako? kweli mapenzi yana shughuli!!Kumbe na wewe hupendi kelele?mbona umesema ndio unaamshwa na hizo adhana?hapo kwenye kared nipo serious pia,nimeona kwenye ile thread nyingine ya ATM na laki sita,halafu ongeza na mshahara wako mbona upo juu.kuna mtu kupata mhogo wa kula mchana ni kazi,akipata laki moja kwake sherehe.
Yani vvan umekimbia azana kwa kutumia ATM ya jamaa yako? kweli mapenzi yana shughuli!!
Kumbe na wewe hupendi kelele?mbona umesema ndio unaamshwa na hizo adhana?hapo kwenye kared nipo serious pia,nimeona kwenye ile thread nyingine ya ATM na laki sita,halafu ongeza na mshahara wako mbona upo juu.kuna mtu kupata mhogo wa kula mchana ni kazi,akipata laki moja kwake sherehe.
Hivi hawa Wasilamu mpaka waamshwe? Yaani allah wao hawezi kuwaamsha usingizi mpaka wapige kelele.
Au ndio kulazimisha huko, dini zingine lol
kama huzitaki hizo kelele mbona umeenda kuishi karibu na msikiti? why dont you just shift. mimi hizo kelele ndo zinaniamsha kuja kwa ofisi meeen!
Unawezaje ku-justify kelele eti kwa sababu zinakuamsha asubuhi?! Kama unataka kuamshwa asubuhi nunua saa au simu yenye alarm.lolz
Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
kumbe ssamtaimu unakuwa na akili mzuri namna hii maana mara nyingi nikisoma komenti zako huwa naishia kucheka maana unatoaga ushauri kama mganga wa kienyeji yaani hapa wala sijaamini m aoni yamesimama
Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
Naona kama hapa pia mnapiga kelele vile....
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Hapana jamani viongozi wapo likizo hapa tanzania wanakula posho mbilimbili.Yani makelele yamezidi.kwani ukisali kimya iwe misikitini au kanisani Mungu hasikilizi? utakuta usiku umetulia saa kumi watu mnaamshwa na makelele.na wengine wanaamua kupiga mataarabu na midundiko usiku kucha wakati jirani zao wamelala.yani ni kero tupu
Jamani samahanini, napataga shida sana nikiwa Dodoma mitaa fulani kuna spika kali asubuhi! Hata kama una usingizi vipi utaamka tu. Ni shiidaaaa