Religious Hardtalk (Mutabaruka vs Clinton Chishlom) (Feb 18 2009)

Religious Hardtalk (Mutabaruka vs Clinton Chishlom) (Feb 18 2009)

Mzee wa Taifa , Doctor mkuu , Jemedari na kiongozi wa majeshe na kusalimu sana aka MziziMkavu

baada ya salamu ningependa kuuliza mnaendeleaje kipande hicho cha dunia??
Maana mambo tunayoona kwenye TV si shwari sana...
 
Last edited by a moderator:
Nimerudi kwako my dear friend .
Nimekumisije sasa mwehhhhh..

unaendeleaje lakini?
Ninashukuru kwa kuni miss Rafiki mimi mzima vipi na wewe umemaliza masomo yako? Je umesharudi nyumbani? Nimefunguwa blog yangu ukiwa na nafasi unaweza kunitembelea na kuweka Comment zako kuiona Blog yangu bonyeza hapa.[video]http://mzizi-mkavu.blogspot.com.tr/[/video]
 
tangu saa saba mpaka sasa 1715 hrs
191 viewers and 5 reply exclude ya kwangu, this means !!!! this topic is !!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom