Religious a Desicive factor Mapinduzi Tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Religious a Desicive factor Mapinduzi Tz.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Feb 26, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Heshima kwenu wanaJf,
  Nilikuwa nafatilia politiks za mfamaji Gaddaf,anavyotapatapa kung'olewa..Imefikia kipindi pamoja na Jeuri na Kibri yake anaegemea na kutarajia msaada wa mgawanyo wa Kikabila..
  Ndugu zangu hili si jambo dogo,ninalitazama katika angle hii:- au Litamsalimisha gaddaf au atang'oka baada ya Genocide kubwa ya walibya..
  Jambo hili limenipa fikra juu ya Tanzaznia yetu. Ni ukweli usiopingika,Kikwete amenufaika mno na propaganda hii ya Udini,na pengine kama si uchakachuaji wa Nec,hii kitu ya Udini ingetosha kumrudisha ikulu.. Point yangu:--- kwa malengo yoyote yale yenye nia ya Mapinduzi (ambayo ningependa yatokee hata leo), ni lazima kuwe na juhudi kubwa za kuwaelimisha watz,kuwa wezi na mafisadi wanakwiba na kulindana kwa kigezo hiki. Na ikitokea mkereketwa akasikika,basi PARAPANDA YA UDINI INAPIGWA.. Labda ndiyo mwavuli wa kikwete &co.. Wanaharakati wote including CDM kila wanapopita wawakumbushe wananchi hii kitu.. Tungependa siku maandamano ya kimapinduzi yakiitishwa basi tujitokeze Wakristo kwa Waislam kwa Wapagani. Kwani uovu wa Kikwete athari zake zinatupata watz wote,bila kubagua dini wala itikiadi.
   
 2. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna tena ushirikiano Tanzania kati ya waisilamu na wakiristo kwa hilo limeshindikana wakati ule wakiristo waliweza kushirikiana na waisilamu wa bakwata ila kwa sasa hakuna muisilamu anaeisikiliza bakwata kwa hio kuwalaghai tena kwa sasa inakuwa ngumu kama zamani mulivyowalaghai
   
 3. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi siwezi kuongozwa na kafiri tena padri kwa ridhaa yangu. Mukijifanya kubadilisha lengo la maandamano yenu basi na sisi tunangia barabarani. Jipangeni lkn na sisi tuko tayari kufa kutetea dini yetu dhidi ya makafiri,maaskofu na ma padri. Tunawasubiri. Dsm njooni muone.
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi kauli za udini tunazo sikia hivi sasa kutoka kwa baadhi ya viongozi ni dalili za tatizo kubwa zaidi, nalo ni kufilisika kisiasa. Inavyoelekea watawala wetu wa sasa wameshindwa kumudu vyema majukumu waliyopewa, na hivyo wanaandamwa kila mahali. Ili kuficha mapungufu hayo,watawala hao wamekuwa wakijaribu kupotosha ukweli, kwa lengo la kufanya baadhi ya watu kuamini ya kwama lawama zinazoelekezwa kwao hazitokani na mapungufu waliyonayo, bali zinatokana na kubaguliwa kwao kwa msingi wa dini, eneo n.k. Hata Gadhafi katika kujaribu kuwarubuni waamerika wamuunge mkono katika harakati zake zakutaka kubakia madarakani, anadai watu wanaompinga wamepandikizwa na alikaida- madai ambayo ni wongo mtupu.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wewe ni wale wa upande ule mwingine wa muungano bila shaka
   
 6. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tubadilike tusitumiwe nawanasiasa mafisadi kusambaratishaumojawetu mungu wetu dini zote nimmoja mungu niupendo matatizo niyetu wote watz birakujali dini kabira rangi tatizo ra maji umeme mfumukowabei erimu ukosefuwadawa mahosipitar miundombinu nk wote vinatuaumiza kasolo mafisadi dini makabira ndoimebakia kinga ngao yakuendeleza uovuwao kunabaadhi ya wanaojiita watumishiwa mungu wanaonufaika naufisadi ndowanao changia kuwapotosha waumini wao wajinga mungukatupaakili yakutambuwa jema na baya kama diniitakuwa chanzo chabinadam kufarakana hiyo siyamungu
   
Loading...