Saikosisi
JF-Expert Member
- May 4, 2007
- 528
- 31
Hata ukiwa na "ngoma," kama unaenda msikitini/kanisani pia maisha yataongezeka kwahiyo 20%?? Saikosisi tafwadhali sheikh...
not only extends but also saves lives .. enzi za mababu wetu wengine tungeshafanywa sacrifices to the gods.
SASA hivi tumekuwa sacrificed to the MAFISADI,S,si bora kuwa sacrificed to the GODS
aaah wapi buddy .. kumbe hujapata habari?? .. wengine wako keko wanasugua visigino
aaah wapi buddy .. kumbe hujapata habari?? .. wengine wako keko wanasugua visigino