Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

Kwa kweli kuna changamoto Kubwa sana kwani hata kama ni kwa kufanya biashara itachukua muda kabla ya kufikia kuweza kujaza bidhaa kwenye hayo mabehewa ya mizigo.
Ifahamike kwamba kama ujenzi umefanyika bila kulenga maeneo husika ambayo mizigo ya wafanyabiashara ni ya kutosha basi ni changamoto kwenye uendeshaji maana ,kutakua Na upungufu Wa mizigo Na hivyo upungufu Wa fedha pia.
 
Wengine tuliseme humu tukabezwa.

Hii reli sana sana watu wataitumia kusafiri kuona ndugu na jamaa na kusafirishia wagonja kwa haraka ila kiuchumi itakuwa ni hasara tu.

Hizi nchi zisizo na viwanda na zenye majiji ya kuhesabu ya kibiashara hizi treni za kisasa ni hasara tu.
 
Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"

Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant.

Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao ni wao, sisi ni sisi?.

Ya wenzetu ni haya:

Loans, trains and automobiles: Did Kenya get a loan to build a railway, or vice versa?
The Chinese-backed Nairobi-to-Mombasa line may never make money

Print edition | Middle East and Africa

Mar 22nd 2018 | MOMBASA

WHEN Kenya launched its new railway last year, connecting the coastal city of Mombasa to the capital, Nairobi, passenger tickets sold out. Travelling between the country’s two biggest cities overland had meant crowding into a bus for 12 hours, or riding the old British-built railway, which might have taken 24 hours. The new line, run by Chinese engineers who wander up and down the carriages, has cut the journey to between four and six hours, depending on the number of stops. The seats are comfortable and, at just 700 shillings (about $7), affordable. Lucky passengers see elephants along the way.

Shuttling passengers, however, is not what the new line was built for. When Kenya borrowed $3.2bn from China for the railway in 2014, the aim was to move freight efficiently between the capital and the port at Mombasa, 484km (301 miles) apart. Unlike the passenger service, the cargo one has been a disaster. The second train out of Mombasa arrived a day late, because it didn’t have enough goods to leave the port. Passengers may find the biggest elephant on their journey is the white one they are riding.

In theory the line should move about 40% of the freight coming inland from Mombasa. The cargo is loaded straight from ships onto trains, which take it to a depot near Nairobi. There it is processed by customs officials. The goal is to relieve congestion on the roads and lower transport costs. One day, it is hoped, the railway will connect all of east Africa. For now, officials would settle for enough revenue to cover the running costs and repay the loans.

But getting importers to use it is proving harder than expected. In its first month the line moved just 1,600 containers out of roughly 80,000 processed in Mombasa. Though the trains go faster than lorries, the line is far less efficient at moving cargo, says William Ojonyo of Keynote Logistics, a Nairobi-based cargo-clearing firm. There have been delays in loading trains. Customs processing at the inland depot is less reliable than in Mombasa. “We are more comfortable dealing with the devil we know, the container on a truck,” he says.

Fees were cut after the first slow month, but traffic did not improve much. On March 1st James Macharia, the transport secretary, sacked 14 out of 16 heads of department at the Kenyan Port Authority, alleging that “cartels” had been obstructing the new railway. Cargo that is not directed to a specific clearing depot in Mombasa has been ordered onto the railway automatically, regardless of its final destination. Importers have arrived in Mombasa to pick up containers, only to find that they have been sent to Nairobi.

Few in Mombasa are pleased by the idea of cargo being sent straight to the interior, bypassing the armies of agents based in the port city. Hassan Joho, Mombasa’s governor, a fierce critic of the new railway, has stakes in two container-storage depots in the city, which the railway could undermine. By moving freight straight to Nairobi, “you’re killing the economy down here,” says Mr Joho’s spokesman.

A bigger issue than cartels in Mombasa ought to be economics. Even if traffic increases, the line will probably not make enough money to repay its debts. In 2013 the World Bank said that a new railway would be feasible only if it were able to move at least 20m tonnes of cargo a year, just about everything that goes through the port. At best, the new line will transport half of that. Some fear that it may not make enough to cover its running costs. If the authorities then skimp on maintenance, the railway could deteriorate quickly.

Before the new line Kenya already had a functional railway—the old British one. In the 1980s it moved about 5m tonnes of cargo a year. It could have been refurbished for perhaps a quarter of the cost of building a new one. But that would not have come with a big Chinese loan or the cash that was splashed out on subcontracts and the land purchases needed for the new line. Some cynics in Nairobi say that building the railway was a way to get a loan, rather than the other way round.

This article appeared in the Middle East and Africa section of the print edition under the headline "Kenya’s white elephant”

Kinachofanya SGR ya Kenya kuwa tembo mweupe ni uwezo mkubwa wa reli hiyo kubeba mzigo mkubwa, wakati uwezo wa bandari ya Mombasa kuclear na kupakia mzigo mkubwa kushibisha reli ni mdogo.

Kwa upande wetu hali ikoje kama hapa tulipo tuu bandari ya Mombasa ni faster.
Kwa vile SGR yetu inaanzia Dar- Morogoro, kwa abiria itakuwa msaada mkubwa. TRC wajenge ICD Moro, Mamlaka ya Bandari waamue, ukiondoa mizigo ya Tazara, containers zote za Zambia, DRC na Rwanda na Burundi, zikishushwa tuu Dar port ziende straight to Moro kupitia SGR. Malori yaanzie pale. Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka, mzigo ukifika Moro unahamishiwa reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori yaanzie Isaka.

SGR italeta faida baada ya kukamilika yote ndio maana tunashauri Magufuli apewe muda wa kutosha kukamilisha miradi yake yote.

Paskali
Sorry Pasco, kidogo you are over the top.
Umemaliza kwa kusema "Magufuli apewe muda kumaliza miradi yake".
What exactly do you mean?
Kikwete na Mkapa wangepewa muda kumaliza miradi yao, nipatie scenario ingekuwaje leo!

You had a good argument on SGR, the conclusion is not only cynical but also sheer aggrandizement.
 
Ushauri mzuri, on transit cargo zote zipelekwe direct Moro na Isaka. Hapo pia tutaponya barabara zetu kuharibiwa na malori mazito.
Lakini wakati huohuo tukubali hasara ya upande mwingine. Kuondolewa kwa malori yanayofuata mizigo Dar, indirectly kuna mapato ya Serikali yatapotea, na pia kuna biashara zitakufa, mfano hotels na mama lishe wanaohudumia madereva wa malori, makampuni ya clearing n forwarding plus waajiriwa Wa hayo makamtuni etc etc.
furthermore, tujiandae kiuchumi kukabiliana na transporters(wamiliki Wa malori ya mizigo) ambao hili jambo hawatalipenda. Wanaweza kufanya uhujumu reli, ama treni yenyewe ana mfumo wa uendeshaji kuhujumiwa ili pawe na delay, ili wafanyabiashara wachague kusafirisha mizigo yao Kwa barabara badala ya reli (economic boycot)
Asante
 
Kweli bongo bahati mbaya. Jana nmemuona Ngosha akizindua kinyerezi2 eti anadai umeme utakaopatikana pale ukijumlisha wa Stieglers Gorge umeme utakuwa wa uhakika. Hivi jamani huo mradi wa S.gorge umeshajengwa? Wameshasahau walisema gas tuliyonayo inatosha kuzalisha umeme wa kutosha na kuuza nje sasa kwanini kuhangaika na umeme wa Maji..?
 
pia kuna biashara zitakufa, mfano hotels na mama lishe wanaohudumia madereva wa malori, makampuni ya clearing n forwarding plus waajiriwa Wa hayo makamtuni etc etc.
Kwa hiyo treni yetu itapeleka mizigo hadi Lubumbashi na lusaka na likasi?!!daah lauda itakuwa na mabawa.
 
Wakuu
Hii biashara sawa na biashara nyingine lazima ushindani uwepo na mbinu pia.
Kwa mtazamo wangu serikali hii tuiache ijenge kwa uwezo wake wote.
Tutakuja pata awamu nyingine yenye akili ya kusimamia na ndo matunda tutayaona.
Ninachoamini hakuna nchi iliyoendelea bila kuimairisha sekta ya usafirishaji.
Wale wenye hoja dhaifu eti reli, bombadia vinamsaidiaje mwananchi wa kawaida tuwaombee, maana ni sawa mtu anaanzisha kitega uchumi kwa ajili ya familia mtu anabeza kwa kuwa hakileti maziwa ya mtoto moja kwa moja
 
Wanabodi

Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"

Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant.

Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao ni wao, sisi ni sisi?.

Ya wenzetu ni haya:

Kinachofanya SGR ya Kenya kuwa tembo mweupe ni uwezo mkubwa wa reli hiyo kubeba mzigo mkubwa, wakati uwezo wa bandari ya Mombasa kuclear na kupakia mzigo mkubwa kushibisha reli ni mdogo.

Kwa upande wetu hali ikoje kama hapa tulipo tuu bandari ya Mombasa ni faster.
Kwa vile SGR yetu inaanzia Dar- Morogoro, kwa abiria itakuwa msaada mkubwa. TRC wajenge ICD Moro, Mamlaka ya Bandari waamue, ukiondoa mizigo ya Tazara, containers zote za Zambia, DRC na Rwanda na Burundi, zikishushwa tuu Dar port ziende straight to Moro kupitia SGR. Malori yaanzie pale. Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka, mzigo ukifika Moro unahamishiwa reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori yaanzie Isaka.

SGR italeta faida baada ya kukamilika yote ndio maana tunashauri Magufuli apewe muda wa kutosha kukamilisha miradi yake yote.

Paskali
Paskali, heri ya pasaka mimi nikisema ukweli kabisa sioni mzigo wa kutosha kushibisha SGR yetu; sawa watakuwa wengi lakini mara zote abiria hawaleti faida kwa biashara ya reli. Ili tupate faida tuunganishe reli ni madini hasa bati, makaa ya mawe, nickeli na chuma. Bati na nickel ziko Busega (SIMIYU) na Kabanga (KAGERA). Makaa na chuma viko liganga na mchuchuma (JOMBE). KAZI KWETU
 
Wanabodi

Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"

Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant.

Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao ni wao, sisi ni sisi?.

Ya wenzetu ni haya:

Kinachofanya SGR ya Kenya kuwa tembo mweupe ni uwezo mkubwa wa reli hiyo kubeba mzigo mkubwa, wakati uwezo wa bandari ya Mombasa kuclear na kupakia mzigo mkubwa kushibisha reli ni mdogo.

Kwa upande wetu hali ikoje kama hapa tulipo tuu bandari ya Mombasa ni faster.
Kwa vile SGR yetu inaanzia Dar- Morogoro, kwa abiria itakuwa msaada mkubwa. TRC wajenge ICD Moro, Mamlaka ya Bandari waamue, ukiondoa mizigo ya Tazara, containers zote za Zambia, DRC na Rwanda na Burundi, zikishushwa tuu Dar port ziende straight to Moro kupitia SGR. Malori yaanzie pale. Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka, mzigo ukifika Moro unahamishiwa reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori yaanzie Isaka.

SGR italeta faida baada ya kukamilika yote ndio maana tunashauri Magufuli apewe muda wa kutosha kukamilisha miradi yake yote.

Paskali
Ha haaaa haa...
Paskali ujumbe wako umelalia hapo Kwenye mstari wa mwisho!
 
Hii reli inatoka Mombasa hadi Nairobi, wakati mizigo mingi ni transit inaelekea maziwa makuu na Kongo,sisi reli yetu itaunganishwa mpaka Rwanda na Burundi na hatimae Kongo ya mashariki,reli ya wakenya ni ya diesel pekee yake,yetu itatumia mafuta na umeme, kwa hio gharama za uendeshaji zitakuwa chini.
...kwa umeme upi ndg yangu
 
Wanabodi

Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"

Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant.

Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao ni wao, sisi ni sisi?.

Ya wenzetu ni haya:

Kinachofanya SGR ya Kenya kuwa tembo mweupe ni uwezo mkubwa wa reli hiyo kubeba mzigo mkubwa, wakati uwezo wa bandari ya Mombasa kuclear na kupakia mzigo mkubwa kushibisha reli ni mdogo.

Kwa upande wetu hali ikoje kama hapa tulipo tuu bandari ya Mombasa ni faster.
Kwa vile SGR yetu inaanzia Dar- Morogoro, kwa abiria itakuwa msaada mkubwa. TRC wajenge ICD Moro, Mamlaka ya Bandari waamue, ukiondoa mizigo ya Tazara, containers zote za Zambia, DRC na Rwanda na Burundi, zikishushwa tuu Dar port ziende straight to Moro kupitia SGR. Malori yaanzie pale. Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka, mzigo ukifika Moro unahamishiwa reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori yaanzie Isaka.

SGR italeta faida baada ya kukamilika yote ndio maana tunashauri Magufuli apewe muda wa kutosha kukamilisha miradi yake yote.

Paskali
Kwanini mizigo ya Zambia na Malawi ambapo TAZARA ambayo ni SGR inapita au kufika ihamishiwe reli ya kati? Halafu hiyo mizigo ya Zambia iende kwa Malori kuanzia Morogoro?
Huoni kabisa Tanzania imeshachemsha tena kwenye ujenzi wa reli?
Mnajenga reli kubwa bila kuwa na mizigo ya kutosha?
 
Chamsingi tukubali Ngosha kaishiwa pumzi... mimi nngepewa nafasi ya kuendesha nchi hii nngemzidi mbali....anakosa vipaumbele amekuja kudhibitisha maprof na madr. sikitu katka uongozi
 
HUU NDIO UJINGA WA MTANZANIA, ITACHUKUA MDA SANA SANA SANA KUENDELEA TANZANIA KAMA TUNA WATU WANAFIKIRI KAMA WEWE
...na wenye akili hizo ndio walioijaza Nch hii....unaweza kuelewa kwanini watawala wanawadharau wanafanya wanavyotaka sababu wanajua wanaotawaliwa Akili zao ni fupi kama mkia wa Kondoo
 
Back
Top Bottom