Relationship

Dah!! kumbe unaweza kuandika kiswahili safi tuu..uzi umetupia kwa lugha ya kigeni..wachanganiagi wanaweza kuwa wachache kutoka na uelewa wa lugha uliyotumia kutoelewana kwa wengi. mfano mzuri mimi.

Thanks for your comments,Uhakika kwamba ni bikira ninao 100% pia mazingira aliyokuwa nayo nayafahamu mpaka hapo alipo.Tatizo kubwa lipo kwangu.........!Sababu sikuwahi kuwa na mahusiano tofauti na msichana mwingine na Nina uhakika kuwa niko safi.Bado ninahitaji comments zenu ambazo naamini zitanifanya Baba mwema ktk familia.Ninaamin JF una members ambao wapo active ktk kutoa ushauri ktk masuala ya mahusiano na masuala mengine ya kijamii,Ki ukweli umri ni mkubwa nilionao But masuala ya kimapenzi niliyapotezea na pia mazingira yangu ya masomo na kazi yaliniweka busy,so sikuwahi kuwaza lini......!
 
mwambie avumilie next year sio mbali, ila usiusemee moyo wa mtu unayeishi mbali nae kunawake wanasiri mpaka shetani huwa anawashangaa
 
Back
Top Bottom