Kama alimpiga nyumbani na hakuna shahidi yoyote. Bado Shilole atatakiwa kutoa ushirikiano ili jamuhuri wa shinde kesi
Ndio maana nikasema Shilole ana capacity anaweza kukata kutoa ushahidi. Jamuhuri watapeleka ushahidi wa Instagram mahakamani!
Kwenye nchi zikizoendelea ni rahisi kushtakiwa na serikali. Kwa sababu ukimpiga mke wake na akapiga kelele kidogo tu majirani au marafiki watapiga simu Polisi na wakija wataongea na mkeo. Na muda huo maelezo atakayotoa ndio watakayo tumia kama ushahidi mahakamani hata akikataa kutoa ushahidi baadae. Lakini pamoja na hivyo kama aliyepigwa akikataa kutoa ushahidi baadae nao serikali wanaipotezea.
Kama Shilole angekuwa hana capacity ni story nyingine. Uchebe ingebidi aeleze Shilole kapataje hayo majeraha. Kwenye nchi za wenzetu wana mental health act; safeguarding.