Relationahip facts

Relationahip facts

and the vice verse is true, kuna midume mingine ukingia nayo uhusiano nuksi tupu
 
Wapo si wanawake tu hata wanaume
Kuna dada mmja jaman alikuwa mzuri na bahati ya kupata wanaume wenye pesa ila ss km bwana hajapata ajali ama kufa basi kufilisika kwake ilikuwa noma, watu walikuwa wanamsema sana akahama na mkoa sijui alipoteleaga wapi
 
Kuna rafiki yangu aliniomba nikamchukue guest na pikipiki aisee humo njiani tulijuta
unajua kunidanganya kweli ila napenda hivyo tu penzi letu lizid kudumu.

nakupenda cause unajua sina moyo wa chuma
 
unajua kunidanganya kweli ila napenda hivyo tu penzi letu lizid kudumu.

nakupenda cause unajua sina moyo wa chuma
Remember when I told you ''I will be with you Until Forever ends''
 
Back
Top Bottom