Relationahip facts

Relationahip facts

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
129
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
 
Yeah wapo na msichana atayekua wa kwanza Ku comment kwenye huu Uzi anathibitisha hilo
 
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki

Naona uzi unawahusu walioajiriwa tu.
 
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Yaani its true kabisa. Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu design hiyo. Aisee.. mafanikio yangu yalipotea gafla.. uchumi ukawa wa shida kweli. Cha ajab ni kuwa cku aliyoniacha.. na milango ya pesa ndio ikafunguka.. mafanikio yakarudi tena.
Nadhan hii inahusiana na nyota ya mtu unayekuwa nae kwenye mahusiano.
 
Nadhani kama kuna wanawake wa hivo hata wanaume wa hivo wapo vilevile.
Kuna mtu namfahamu alianza chini sana na mkewe japo mke alikuwa mkubwa kidogo.Wamekuja kufanikiwa kupata hela mume akishauriwa hili hataki.
Kashauriwa kuwekeza haelewi mke akaona ngoja nikae kimya.
Mume hela akanunua gari na pikipiki.Hajakaa sawa akaoa huko kijijini kwao kaleta mke mdogo town.
Hapo sasa ndo kimbembe kikaanza mara maisha yakaanza kuwa magumu akauza gari ikabaki pikipiki.
Hajakaa vizuri ile pikipiki alikuwa anaiendesha kama dereva bodaboda ikaibiwa akiwa amepaki.
Maskini kabaki hana chochote zaidi kakodi bodaboda ya mtu anaendesha.
Maisha yamekuwa magumu wake wawili na watoto juu.
Watu huwa wanasema huyo bidada aliyemuoa ndo chanzo ila mimi naamini kukaidi ushauri aliokuwa anapewa ndo kumemletea yote hayo.
Wenzie wakipata pesa wanawekeza yeye anaoa.
Ila maisha hayana formula kwakweli sijui akikumbuka zile pesa anajiskiaje
 
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Nikweli,....nyota ndiyo kila kitu,...kama haziendani kazi unayo,...kama mshana aliwahi andika hili jambo
 
Laivu, kuna mademu wengine ukitoka kupiga tu ile ndo upo njiani unarudi utakumbana na mikosi mwanzo mwisho mpaka utajuta... Ah
 
Kuna kanga ziliandikwa

"Riziki anatoa Mungu acheni majungu"

Uzi wako umenifanya nikazikumbuka.
 
r
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Si kweli! Hata ukiwa huna mpenzi mambo yote uliyoyataja hapo juu yanaweza kukukuta haijalishi Ke au Me. Imani potofu tu.
 
Back
Top Bottom