Rekodi: Yanga vinara wa magoli CAFCL huku Simba ni vinara wa yellow cards

Summary kwa wale ambao picha hazifunguki:

1. Kwenye successful dribble per game Yanga inaongoza
2. Kwenye magoli Yanga imeongoza
3. Kwenye Big chances created anaongoza mchezaji wa Yanga ( Aziz Ki)
4. Kwenye assist anaongoza mchezaji wa Yanga ( Azizi ki)
5. Kwenye key pass per game anaongoza mchezaji wa Yanga ( Pacome)
6. Kwenye wafungaji wa magoli, mchezaji wa Yanga yupo nafasi ya pili kwa tofauti ya goli moja na Sankara
Hahahahaha...inatosha sasa
 
YANGA VINARA WA UFUNGAJI WA CAFCL HADI SASA !.

Klabu ya Yanga ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi hadi sasa hatua ya Makundi CAFCL . Ikiwa ni mara yao ya kwanza tangia mashindano haya kubadilishwa jina kuitwa Caf Champions League : Wananchi wanaaandika rekodi ya kuwa iliyofunga magoli mengi hadi sasa .

Yanga wamefunga magoli 09 hadi sasa wakiwa nafasi ya pili Kundi D .

Asec Mimosas wamefunga magoli 07 hadi sasa wakiwa vinara wa Kundi B .

Tp Mazembe wamefunga magoli 6 Sawa na Mameloadi Sundown wote wakiwa Kundi A .

Wananchi kwenye Rekodi bora kwenye Mashindano ya Afrika .

Huku Simba wakiwa ni vinara wa yellow cards 16 kwenye champions league ..,..ama kweli maisha ni kuchaguaView attachment 2916825

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hatari sana mabingwa wapya wa CAFCL
 
Summary kwa wale ambao picha hazifunguki:

1. Kwenye successful dribble per game Yanga inaongoza
2. Kwenye magoli Yanga imeongoza
3. Kwenye Big chances created anaongoza mchezaji wa Yanga ( Aziz Ki)
4. Kwenye assist anaongoza mchezaji wa Yanga ( Azizi ki)
5. Kwenye key pass per game anaongoza mchezaji wa Yanga ( Pacome)
6. Kwenye wafungaji wa magoli, mchezaji wa Yanga yupo nafasi ya pili kwa tofauti ya goli moja na Sankara
Na Kwenye possession ni wa 4 sio haba katika vilabu vyoooote afrika .
 
Mnafiki,Mshakunaku,Mzandiki,Muongo,Tapeli,Mdandia Mada,Muokoteleza taarifa za Uongo huko mitandaoni,Mwenye chuki za waziwazi kwa Yanga,Mwenye akili za kimbayuwayu,Kubwa J,mfitinishi,Zumbukuku,Zwazwa & Limbukeni wakuitwa GENTAMYCINE

Tangu kipigo cha Juzi ametoweka kabisa hewani!
Hasira zako zote Kwangu ni kwasababu tu ya kuwa Baba yako wa Kambo na Mama yako Kunipenda sana. .

Usijali nitaendelea Kumfurahisha zaidi Aliyekuzaa japo Wewe Mwanae Simbilizi Ndorobo hutaki na Unanichukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom