Rekodi: Yanga vinara wa magoli CAFCL huku Simba ni vinara wa yellow cards

Hasira zako zote Kwangu ni kwasababu tu ya kuwa Baba yako wa Kambo na Mama yako Kunipenda sana. .

Usijali nitaendelea Kumfurahisha zaidi Aliyekuzaa japo Wewe Mwanae Simbilizi Ndorobo hutaki na Unanichukia.
πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Summary kwa wale ambao picha hazifunguki:

1. Kwenye successful dribble per game Yanga inaongoza
2. Kwenye magoli Yanga imeongoza
3. Kwenye Big chances created anaongoza mchezaji wa Yanga ( Aziz Ki)
4. Kwenye assist anaongoza mchezaji wa Yanga ( Azizi ki)
5. Kwenye key pass per game anaongoza mchezaji wa Yanga ( Pacome)
6. Kwenye wafungaji wa magoli, mchezaji wa Yanga yupo nafasi ya pili kwa tofauti ya goli moja na Sankara
watakuambia ni sababu ya majini, au wachezaji wa timu pinzani hununuliwa!
 
πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Unajisikiaje kuwa na Baba wa Kambo wako Mimi GENTAMYCINE? Mwambie Bi Mkubwa asifunge Mlango Saa 7 za Usiku baadae nitawasili na hakikisha unakuwa nae kumsaidia Kunifungulia ule Mlango wenu mbovu sawa?
 
Sawa mke wa baba nimekuelewa!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Muulize Mama hapo nimekosa ile Naniliu ya Fleva ya Ndizi aipendayo je, nije na hata ya Fleva ya Chungwa kwa leo tu kwani nina Usongo ulionitukuka.
Halafu mama nikwambie kitu?,Baba kasema uwahi anahamu na wewe!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Halafu mama nikwambie kitu?,Baba kasema uwahi anahamu na wewe!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Muulize Aliyekuzaa hapo jirani nawe kuwa nimekosa ile Naniliu ya Fleva ya Ndizi aipendayo je, nije na hata ya Fleva ya Chungwa kwa leo tu kwani nina Usongo ulionitukuka.
 
Mnafiki,Mshakunaku,Mzandiki,Muongo,Tapeli,Mdandia Mada,Muokoteleza taarifa za Uongo huko mitandaoni,Mwenye chuki za waziwazi kwa Yanga,Mwenye akili za kimbayuwayu,Kubwa J,mfitinishi,Zumbukuku,Zwazwa & Limbukeni wakuitwa GENTAMYCINE

Tangu kipigo cha Juzi ametoweka kabisa hewani!
Amerudishwa Milembe, baada ya kipigo kile cha mbwa koko kichaa chake kilipanda, tumuombee.
 
Amerudishwa Milembe, baada ya kipigo kile cha mbwa koko kichaa chake kilipanda, tumuombee.
Huko Milembe nilimkuta Mama yako na Mimi nimepona ila Yeye bado kabakia huko kwani tatizo lake ni Sugu na Tukuka.
 
YANGA VINARA WA UFUNGAJI WA CAFCL HADI SASA !.

Klabu ya Yanga ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi hadi sasa hatua ya Makundi CAFCL . Ikiwa ni mara yao ya kwanza tangia mashindano haya kubadilishwa jina kuitwa Caf Champions League : Wananchi wanaaandika rekodi ya kuwa iliyofunga magoli mengi hadi sasa .

Yanga wamefunga magoli 09 hadi sasa wakiwa nafasi ya pili Kundi D .

Asec Mimosas wamefunga magoli 07 hadi sasa wakiwa vinara wa Kundi B .

Tp Mazembe wamefunga magoli 6 Sawa na Mameloadi Sundown wote wakiwa Kundi A .

Wananchi kwenye Rekodi bora kwenye Mashindano ya Afrika .

Huku Simba wakiwa ni vinara wa yellow cards 16 kwenye champions league ..,..ama kweli maisha ni kuchaguaView attachment 2916825

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Si tuliambiwa huku hakuna wa kina Zalan na Marumo.. ! Yanga imewezaje kufunga Goli nyingi kwenye ligi ya "wakubwa"
 
Muulize Aliyekuzaa hapo jirani nawe kuwa nimekosa ile Naniliu ya Fleva ya Ndizi aipendayo je, nije na hata ya Fleva ya Chungwa kwa leo tu kwani nina Usongo ulionitukuka.
Baba kasema wewe njoo hivyo hivyo tu kama umekosa kilainishi atapaka mate ili ipenye hadi kunako ili hamu yako iishe baada ya kusukumiwa Mjurubenga!πŸ˜›πŸ˜›πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom