President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Ngoja utopolo waje na statics zao za ubingwa wa kihistoria!!Simba SC [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:
[emoji117] 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi [emoji460] 20
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere [emoji460] 23
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere [emoji460] 22
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco [emoji460]16
Bingwa: SIMBA
Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora kwani wao wanasemajeee
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Nani?Utopwenge?Mabingwa wa stories?πππππ
Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora kwani wao wanasemajeeeSimba SC [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:
[emoji117] 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi [emoji460] 20
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere [emoji460] 23
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere [emoji460] 22
Bingwa: SIMBA
[emoji117] 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco [emoji460]16
Bingwa: SIMBA
Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora kwani wao wanasemajeee
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hii pia ni history
Weka rekodi ya utopolo tuione.Sasa mbona hata Yanga tumeshawahi kuwa mabingwa kabla yenu kwa mara 3 mfululizo! π₯΅
Weka rekodi ya utopolo tuione.
Tate Mkuu , weka rekodi hapa tuione . Acha porojo.Sasa kama hujui kuanzia 2010 mpaka 2016 Yanga ndiyo alikuwa mbabe wa ligi kuu! Basi kutakuwa na tatizo mahali. Siyo bure.
Hivi zile 5 , 0 zilikuwa mwaka gani vile? Tukumbushane mkuu.Sasa kama hujui kuanzia 2010 mpaka 2016 Yanga ndiyo alikuwa mbabe wa ligi kuu! Basi kutakuwa na tatizo mahali. Siyo bure.
Mtani,, tatu vs nne nani zaidi??Sasa mbona hata Yanga tumeshawahi kuwa mabingwa kabla yenu kwa mara 3 mfululizo! [emoji3062]
Tate Mkuu , weka rekodi hapa tuione . Acha porojo.
Hivi Azam ya Bocco na Kipre Cheche ilichukua ubingwa mwaka gani vile? Hivi Simba ya Mafisango na Okwi iliyomfunga Yanga 5 mtungi na kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka gani vile? NikumbusheSasa kama hujui kuanzia 2010 mpaka 2016 Yanga ndiyo alikuwa mbabe wa ligi kuu! Basi kutakuwa na tatizo mahali. Siyo bure.
Mzee unaona nilichokiweka!? Wanyanga maneno meeeengi kama ManaraSasa kama hujui kuanzia 2010 mpaka 2016 Yanga ndiyo alikuwa mbabe wa ligi kuu! Basi kutakuwa na tatizo mahali. Siyo bure.
Mada inasema mara 4Sasa mbona hata Yanga tumeshawahi kuwa mabingwa kabla yenu kwa mara 3 mfululizo! π₯΅
Hivi Azam ya Bocco na Kipre Cheche ilichukua ubingwa mwaka gani vile? Hivi Simba ya Mafisango na Okwi iliyomfunga Yanga 5 mtungi na kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka gani vile? Nikumbushe
Sasa hapa naona kama haiko poaMaswali kama haya ukimuuliza tajiri yako Mo anaweza akakulamba kibao! Mimi nimesema hivi, kati ya mwaka 2010 na 2016, Yanga ilichukua ubingwa wa Ligi kuu mara 3 mfululizo!
Kipindi hicho rais wa TFF alikuwa ni Jamal Malinzi, na Yanga ilikuwa chini ya Manji!
Sasa hapa naona kama haiko poa
kwasababu azam alichukua 2013
Wewe unatuambia 2010-2016 ulichukua mara tatu mfululizo hivi unaona hesabu zako zipo sahihi hapo?