Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! π₯
Habari mfanyabiashara!
Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua?
Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote.
π± Bizi ni nini?
Bizi ni app rahisi kutumia inayokusaidia kurekodi mauzo, kufuatilia bidhaa, madeni ya wateja, gharama zako, na kupata ripoti nzuri za biashara β moja kwa moja kwenye simu yako.
πΌ Bizi Inakufaa Kama:
β
Una duka la rejareja
β
Unauza bidhaa mtandaoni (WhatsApp, Instagram, TikTok, Facebook)
β
Una biashara ya jumla
β
Una saluni, mgahawa, stationery, au biashara yoyote ndogo au ya kati
β¨ Faida za Kutumia Bizi:
β
Rekodi Mauzo Haraka β Hakuna tena kuandika kwenye daftari
β
Angalia Stoo Yako β Fahamu bidhaa zilizobaki muda wowote
β
Rekodi Gharama β Pata picha halisi ya faida yako
β
Rekodi Madeni β Usisahau tena nani anakudai au unamkudai
β
Ripoti Kamili β Tazama faida, mauzo ya kila siku, wiki au mwezi
β
Weka Wafanyakazi β Dhibiti nani anaweza kufanya nini kwenye app
β
Inapatikana Android, iPhone na Web β Furahia uhuru wa kuitumia popote
π Kwa Nini Uchague Bizi?
βοΈ Rahisi kutumia
βοΈ Kiswahili kimepewa kipaumbele
βοΈ Imetengenezwa kwa mazingira ya biashara za Tanzania
βοΈ Huduma ya msaada inapatikana kila siku
π― Pakua Bizi Leo:
π Google Play Store and App store:
Bizi app
π Web App:
Bizi app
π Biashara Yako Inastahili Kuwa Bora β Anza Na Bizi Leo!
Ukihitaji msaada, tutafute 0682492531