Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,805
Wana jamvi Rekodi haziongopi!
-Aliongoza operesheni ya uuzaji wa Nyumba za serikali - Haikuwa sahihi
- Alivunja sheli mwanza, tukalipa mabilioni
- Alikamata meli ya Samaki , tukalipa mabilioni
- Alinunua kivuko kwa mabilioni, lakini kina mwendo wa kobe
- Alizuia vibali vya Sukari, leo tumerudi kule kule
- Aliondoa pesa za Serikali kwenye mabenki ya biashara na kuyaweka BOT, leo zimeanza kurudishwa polepole kama zamani.
Je katika hili la mchanga, kuna kipya kinachofuata au tutarudi kule kule
Yote kwa yote nasaport nia njema alionayo na Mungu asaidie ili lijibu changamoto za watanzania