Rekodi haziongopi

Rekodi haziongopi

Tatizo ni uwezo wa kuchambua mambo hana. Akili yake bado ya kibashite pamoja na PhD tata aliyo nayo!
 
tatizo una ujinga wa kuona 1D, ingekuwa 3D usingeongea utumbo

hivi una taarifa wana sheria wa serikali huwa wanashindwa hizo kesi kwa kujifanyisha?

uuzwaji wa nyumba yalikuwa maamuzi ya JPM au baraza la mawaziri?

kajipange
Ww sio mzima aisee kesi tunashindwa kwa sababu ushahidi wa kuprove kesi hakuna mikataba tunavunja bila kutumia bongo unategemea ukashinde kesi
Kuhusu nyumba ata yy alikuwa sehem ya ilo baraza la mawazir tena wazir mwenye dhamana kwa nini hakuachia ngazi
 
Ww sio mzima aisee kesi tunashindwa kwa sababu ushahidi wa kuprove kesi hakuna mikataba tunavunja bila kutumia bongo unategemea ukashinde kesi
Kuhusu nyumba ata yy alikuwa sehem ya ilo baraza la mawazir tena wazir mwenye dhamana kwa nini hakuachia ngazi

Kabisa, na mimi nakuona wewe mjinga!!

maana kila siku tunalalamika tuonyeshwe mikataba! mikataba ni mibovu kila mahali! MAGUFULI kama alishindwa kwa sababu ya mkataba ilikuwa ndio chance ya wewe na mimi kuema tungalie mikataba

kwani lengo la kuangalia mikataba ni nini? tuangalie tu? tukikuta mibovu TUNAIVUNJA, hata kama tutalipa mamilioni

kipi bora una mkataba wa miaka 100, na utakula hasara ya miaka 100, ulipogundua mkataba ukiwa na miaka kumi ukauvunja unalipa fine/hasara n.k LAKINI hasara utakayopata eventually inakupelekea kutunza mali za miaka 50 ijayo!!

Mikataba yote ni mibovu, Magufuli alifanya kwa capacity yake na uwezo wake kwa sababu alikuwa na mabosi wake ambao walipaswa wachukue hatua stahiki!! hawakufanya

waovu na mafisadi wakashinda huko mahakamani.......wewe haukuangalia initiave za Magufuli, umeangalia outcome



kwa akili zako najisi badala ya huyu aliye 'dare' kumpa kuddos, ndio una mdis

usiumie kuwa haujawahi kuwaza kama hivi.......ni kuwa hauko hivyo, unaangalia vitu in 1D, wenzako tunaangalia in 3D na nje ya bo

ndani ya moyo wako ni kuwa una chuki, chuki ndio inakufanya uwaze hayo! hamna lingine

Kama haujaelewa hapa, katambike
 
Adui yako akiwa anafanya makosa... Muombee aendelee kukosea.
Ukianza kupiga makelele atashtuka na kubadili gia angani..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom