Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,364
Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .

Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam.

Sasa ndio akaniomba ushauri na nyie ndio mkanishauri . Sasa ameshabadilishwa dini na sasa ni muislam na harusi wiki ijayo . . So heri yake . Katika maamuzi yake .
 
haina shida,badili tu uwe mwislamu
 
Ajifunze Uislam, kidogo kidogo, aanze na sala tano azijuwe na azitimize.
 
Hakuna ndoa ya kiislam inayofungwa mwanamke akiwa na mimba, hairuhusiwi mwanamke kuolewa akiwa mjamzito hadi ajifungue kwahiyo hiyo harusi ya wiki ijayo waihairishe kwanza
 
Atazitimiza tu sasa hapo alielekezwa tayari na anandugu wa mume wa tamuelekeza
Ma shaa Allah anunuwe na juzuu na aingie mitandaoni kujifunza Qur'an mdogo mdogo.

Naweza kukupa link za kujifunza kama utamfikishia.
 
Me nilijua ni wewe nikadharau kwakua najua dishi limeyumba jepesiiiiiii kama azam TV kumbe ilikuwa serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…