"Rejected by TCU , reason continuing student "

Hiki kitu(Not aproved because of..) Mnaandikiwa wapi?Mbona kuna watu wenye Case kama ya kwenu hawajaandikiwa?.Hebu kuweni wazi Vijana...
 
Vijana wa siku hizi wazembe sanaa
 
Unapaswa kwenda TCU fasta wakupe barua upeleke chuo waresolve issue yako mapema. Mashindwa kukutumia picha yenye hiyo official note on what to do
Nitumie PM mkuu ,au nipe namba nikuchek
 
Niliacha kimyakimya mkuu ,nikajua watanifuta kwasababu sijaripot
Hivi ndivyo baadhi ya watanzania tulivyo. Tunafanya jambo la ovyo wenyewe halafu rungu la lawama tunawaangushia watu wengine. Si ajabu hata bodi ya mikopo walikupa hela ukazila na hukuenda chuo. Utalalamika tu kuwa umenyimwa mkopo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…