"Rejected by TCU , reason continuing student "

Nyatunyau

Senior Member
Jan 20, 2017
152
250
Asalaam ,Uzi huu ni mahususi kwa waombaji wa undergraduate wenye sifa zote tuliochaguliwa na vyuo mbalimbali lakini majina yetu hayakuthibitishwa na TCU kwa sababu database yao inaonesha sisi ni wanafunzi wa vyuo vikuu tayari & tunaendelea na masomo ili hali hatusomi chuo chochote ndio mwaka huu tumeomba nafasi za masomo.

Binasfi niliwahi kuomba chuo kupitia TCU miaka mitatu iliyopita na kuchaguliwa DIT Baeng in civil & building kutokana na matatizo ya kiafya sikuweza kwenda chuo yaan sikufuatilia tena post yangu. Sasabasi tujadiline namna ya kutetea nafasi zetu kwenye vyuo tulivyochaguliwa kwani tayari tumekwisha tumia muda na pesa kuomba nafasi hizi.


Nawakaribisha
 

Nyatunyau

Senior Member
Jan 20, 2017
152
250
nenda DIT kwa ADMISSION OFFICER mueleze , atakupabarua ya ku terminate ... ipeleke TCU pale watakupa fomu ujaze watambatanisha na hiyo barua.. basi unakuwa huru kufanya application....
Asante kwa ushauri mkuu ,umesaidia wengi kwa ushauri wako maana hili tatizo limewakumba watu wengi
 

Nyatunyau

Senior Member
Jan 20, 2017
152
250
Screenshot hiyo sms
Screenshot_2017-10-05-17-22-40.png
 

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
440
225
Kwann wasitoe majina ya watu ambao ni cont kuonesha kuwa wanakigezo kuchaguliwa chuo walichoomba,kuliko kuwapiga chn kabisa maana unashindwa kuelewa kuwa pengine unakuta huna kigezo,mi pia ni mhanga Wa hicho kitu
 

Nyatunyau

Senior Member
Jan 20, 2017
152
250
Kwann wasitoe majina ya watu ambao ni cont kuonesha kuwa wanakigezo kuchaguliwa chuo walichoomba,kuliko kuwapiga chn kabisa maana unashindwa kuelewa kuwa pengine unakuta huna kigezo,mi pia ni mhanga Wa hicho kitu
TCU baada ya kuzuiwa udahili naona asirazao wanamalizia kwa waombaji tena wenye sifa kamilifu ili watu walalamike uonekane hii system haifai warudishiwe wao waendelee kupiga pesa za hongo vyuoni
 

Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
677
500
Hayo majina umeyaona wapi? Mimi pia nimechaguliwa ud lakini kuna sehemu wameandika remarks. Pending tcu approval
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom