"Rejected by TCU , reason continuing student "

kaka mkubwa tusaidie likn tuyaone majina vizuri
 
Tembelea website ya Tcu kuna maelezo wametoa kwa wale AMBAO wanaply mara ya pili, huku waliwahi kuchaguliwa kujiunga na chuo previously ila hawakwenda
 
Kuna form hii hapa utatakiwa kudownload uijaze na kuambatanisha na barua yako kutoka chuo ulichopangiwa mwanzoni
 

Attachments

  • RE_APPLICATION_FORM.pdf
    82.3 KB · Views: 29
Kuna form hii hapa utatakiwa kudownload uijaze na kuambatanisha na barua yako kutoka chuo ulichopangiwa mwanzoni
Asante sana je ukifuata taratibu hii itachukua muda gani kushugulikiwa maana deadline ni 10 of October
 
yaani kama mimi npo dar nmeomba pale chuoni nilipochaguliwa awali wamenipiga ka mpira wa danadana register anasema niende mwanza yaani cjaelewa hicho chuo yaan nimeenda tcu wakanambiia mpk barua ndio nijaze form yao cjajua ntafanyeje je naweza waripoti tcu ili wanasaidie
 
Tafuta namba ya admission officer wa chuo cha awali wape detailz zako &waambie wakutumie iyo barua kwa njia ya e mail then print wapelekee TCU ujaze fomu mm nimefanya hv hadi sasa nishaipat barua ya termination kwa njia ya e mail imebak kupeleka tcu
.Kwa ufafanuzi zaid ni PM
 
Hujaeleweka hata kidogo.

Kwa mwandiko wako na jinsi ulivyojieleza naona hata chuo kilichokuchagua kimekosea. Hujui kujieleza kibaya zaidi hueleweki.

Una three ya ngapi?
 
GPA ya 4.9 naweza kudahiliwa chuo cha Ardhi university na kupata? au nisiombe?
 
Hujaeleweka hata kidogo.

Kwa mwandiko wako na jinsi ulivyojieleza naona hata chuo kilichokuchagua kimekosea. Hujui kujieleza kibaya zaidi hueleweki.

Una three ya ngapi?
aisee cna three mkuu na niwewe uliyepigiwa cm ukajibu vibaya nn ??
 
Mwenye zile namba za ku confirm udom,zilizotolewa kwenye tangazo ,anitumie plz
 
Unapaswa kwenda TCU fasta wakupe barua upeleke chuo waresolve issue yako mapema. Mashindwa kukutumia picha yenye hiyo official note on what to do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…